Kitila Mkumbo
JF-Expert Member
- Feb 25, 2006
- 3,355
- 1,990
Dia kama hujanielewa hapo sidhani kama utanielewa hata nikichanganua..Naanza kumuelewa Shalom kwanini alisema nisingekujibu kama nilivyojibu..
Asante,byeee!see you then!
Mkuu sasa naiona sababu ya watu kukuita wewe CCM.. wakati wewe unajiuliza uwezo wa chadema ukilinganisha na CCM ni vichekesho vitupu kwani ni sawa na mwanamke anayekataa kuomba talaka kwa kuazama wanaokuja kuposa, akidhani hakuna mwanamme mwingine anayeweza kuwa mume zaidi ya mumewe.[Je Chadema ilivyo sasa iko tayari kuongoza taifa la watu milioni 40 kwa ubora na kwa maono bora zaidi na mfano mzuri wa kiuongozi katika ngazi zote kuliko CCM? Ni nini msingi wa imani ya wale wanaoona kuwa iko tayari?
kaka¬¬¬¬ nakuangalia kwa jicho tofauti sasa!!! Toa uchambuzi wa unayoyasema ili tukubaliane na MMMhhhhhh!!kama wewe!Ndo maana kuna 'Labda'.............inawezekana hii ndo sababu ya kuifanya iingie madarakani...Ukiuliza nini mafanikio ya CHADEMA utatajiwa operesheni Sangara na vita dhidi ya ufisadi.........zaidi ya hapo mhhhhhhhhhhhhhhh
Huyo aliye na alama nyekundu sasa yuko sisi m ni shabiki mzuri wa JMK. Tena nasikia anajitayarisha kuja kumpigia Tibaijuka kampeni Muleba ili amuondoe Masilingi. Bado ana beef la kushindwa mara kama tatu kwenye uchaguzi Muleba.Jibu la swali hilo lipo kwenye matamshi ya Muasisi wa Chadema Mzee Edwin Mtei...
" amewataka viongozi wa Chama cha Jamii (CCJ), kuhamia Chadema, ili wawe katika nafasi mzuri ya kuendeleza upinzani wa kweli hasa kama chama hicho hakitapata usajili wa kudumu ndani ya mwaka huu.Mtei alitoa rai hiyo jana alipokuwa akizungumza na Gazeti la Mwananchi" kwa matamsha ya muasisi yanatupa picha ya kisakolojia ya Chadema na vyama vinginekwa kuelekea uchaguzi ujao 2010. Kwa sasa Mtei anaona role ya Chadema ni kutoa Upinzani wa kweli
Itakuwa ni maajabu kwa kipindi kifupi endapo CCJ ambayo matumaini yake makubwa ni CCM-B itaweza kuchukua serikali ktk uchaguzi huu 2010! Na kutoka CCM tusitarajie mabadiliko ya kweli hapa napingana matamshi ya Mwl J. Nyerere... nitumie mfano wake mwenyewe kwa CCM! Generation ya wanasiasa CCM na siasa za "clique" ni kama simba aliyeonja nyama ya mtu, wakihamia CCJ wataendeleza tabia zao... hayo tumeyaona kwa jirani zetu Kenya NARC na FORD O, FORD K...
Chadema ni mwanzo mzuri ni chama serious..., kinamapungufu, tujifunze kutokana na vyama vilivyopata mafanikio nchi nyingine kama vile ANC; kujisahihisha na kubadilika. Kama Chadema ni strong northern zone hiyo siyo ukabila au dhambi ila basi zifanyike juhudi kufanya popular south pia na penginepo, pengine hata kufanya mazumngumzo na CUF kuunganisha vyama kuunda chama kitakachukua tayari kuchukua serikali na kuondoa dhana potofu ya ukabila au udini. Hivyo ndivyo siasa zinavyofanywa pengine duniani...
Tahadhari kubwa kwa Chadema ni mapandikizi ya CCM kama walivyofanya kwa NCCR-Mageuzi. Mrema, Marando, Bagenda Mbatia na wenzake
Kina watu wa kuunda Serikali:
Slaa - Rais
Zitto-Waziri Mkuu
Lissu-Waziri wa Sheria
Mbowe-Waziri wa Fedha
Mwanakijiji - Waziri wa Habari
Huyo aliye na alama nyekundu sasa yuko sisi m ni shabiki mzuri wa JMK. Tena nasikia anajitayarisha kuja kumpigia Tibaijuka kampeni Muleba ili amuondoe Masilingi. Bado ana beef la kushindwa mara kama tatu kwenye uchaguzi Muleba.
Mwanakijiji endelea kuomba Mungu ili sisi j ipate usajili.
Shida itakuja pale nitakaposikia imeanzishwa na sisi K na wewe umejiunga kule kwa kuwa unadhani sisi J hawana kitu. Huo ndio mtindo wa kibongo. Bwahahahahahaha
Hebu subiri kidogo, umeweza kuwaamini CCJ ambao so far ni mysterious, lakini huwezi kuwaamini CHADEMA walioweza angalau kuleta mabadiliko bungeni! Kuna kitu hujatuambia kuhusu CHADEMA na CCJ. In any case, watu hubadilisha uongozi kutokana na sababu moja kati ya hizi zifuatazo:
i) kushindwa kwa chama kilichopo madarakani
auii) kuwapo chama bora zaidi kuliko kinachotawala
au
iii) yote mawili hapo juu.
Tunaweza kubishana kuhusu ii) na iii). Lakini tunakubaliana unanimously kuhusu i) na hii ni sababu tosha ya kuifukuza CCM. Sasa tutafute sababu ingine ya kuendelea 'kudumisha ndoa yetu' na CCM. Kwamba Chadema wanaweza au hawawezi sio sababu ya kuendelea kuwachagua CCM.
Mwanakijiji wa sisi J. anaweza kuliongoza linchi hili NNLet's face it. CCM wenyewe hawawezi kuongoza. Kwa kifupi ni hakuna anayeweza kuiongoza Tanzania kwa sasa. Kama yupo mtajeni tumchambue hapa. Hili linchi linajiendesha lenyewe tu.
Kina watu wa kuunda Serikali:
Slaa - Rais
Zitto-Waziri Mkuu
Lissu-Waziri wa Sheria
Mbowe-Waziri wa Fedha
Mwanakijiji - Waziri wa Habari
Kitila.. kuifukuza CCM siyo suluhisho la matatizo yetu. Hii ndiyo pointi ambayo haitaki kuzama ndani ya watu. Hatuwezi kusema tuifukuze tu CCM for the sake of kuifukuza ili tarehe 30 Oktoba tushangilie kuwa hatimaye CCM imeng'oka. To me it is more important to articulate what we want after Oktoba 30 CCM ikiwa nje ya madaraka..
Hakuna mtu anayetaka kutuambia.
Labda Mwalimu uniambia. After 100 days CHadema itafanya nini tofauti na ambacho kingeweza kufanywa na CCM kuashiria ujio wa mabadiliko? Na baada ya siku 365 ni kitu gani kitakuwa tofauti kwa Watanzania au katika Tanzania. Amuse me.
Mwanakijiji wa sisi J. anaweza kuliongoza linchi hili NN
Kwa nini?Thubutu!!
Oh hell no..Zitto hana temparament ya kuwa kiongozi wa juu hivyo. Hafai kabisa. Ni mjeuri, mwenye kujisikia, na wa kujifanya mjuaji sana. Hafai kabisa huyu kadogoo..
Sisi M. wanapenda watu wa aina ya Sisi J. Maana wakishatikiswa siku zote utaka kumkaribisha adui na kumpa kiti kidogo cha mtawala. Bila shaka wote watakimbilia Sisi M kuliko watakavyoweza kukimbilia Chadema.CCJ mna mambo....mmeshakuwa wapinzani wa CHADEMA. Mkikosa usajili mtakimbilia wapi wakati CHADEMA ndio mkakati B wenu? Msidanganye kuwa mtarudi CCM maana nijuavyo kunyia kambi ndio dhambi pekee ndani ya CCM....
omarilyas
Kitila.. kuifukuza CCM siyo suluhisho la matatizo yetu. Hii ndiyo pointi ambayo haitaki kuzama ndani ya watu. Hatuwezi kusema tuifukuze tu CCM for the sake of kuifukuza ili tarehe 30 Oktoba tushangilie kuwa hatimaye CCM imeng'oka. To me it is more important to articulate what we want after Oktoba 30 CCM ikiwa nje ya madaraka..
Hakuna mtu anayetaka kutuambia.
Labda Mwalimu uniambia. After 100 days CHadema itafanya nini tofauti na ambacho kingeweza kufanywa na CCM kuashiria ujio wa mabadiliko? Na baada ya siku 365 ni kitu gani kitakuwa tofauti kwa Watanzania au katika Tanzania. Amuse me.
NN jibu swaliMiafrika ndio tulivyo....mtu akijiamini..ana jeuri...anajisikia...anajifanya mjuaji....etc etc