Shalom
JF-Expert Member
- Jun 17, 2007
- 1,315
- 128
inaonekana una matatizo katika mtazamo wako wa mambo ya kijinsia.
sana tu! kwani ni mimi niliyesema wa "kike" mimi nilimaanisha "kitoto"
inaonekana una matatizo katika mtazamo wako wa mambo ya kijinsia.
Exactly, imebaki kunabishana tuu, tuambie mtafanya nini wakati yeye hajatuambia Ccj itafanya nini, mwisho tutabaki kama majuha kuzomeana hilooo.......hilooo limeshindwa kuniambia, sijaona MKJJ kuja na constructive ideas kwenye hii hoja mbali ya kuuliza mtafanya nini, yeye anafikiri kutubandikia katiba ya Ccj humu ndio utekelezaji is not easy like that is more than addressing press conference at Habari Maelezo and thereafter heading to court.sasa mipasho tufunge topic!
Mfano wa nini? Wa viongozi walio insensitive na shida za watu? Hivi hakuna kiongozi Tanzania aliyewahi kusema hata ikibidi Watanzania kula nyasi watakula lakini lazima ndege ya raisi itanunuliwa....au huyo alikuwa kiongozi wa majuu? Au hakuna kiongozi aliyewahi kutoa kauli kama hiyo Tanzania?
Originally Posted by Companero Kina watu wa kuunda Serikali:
Slaa - Rais
Zitto-Waziri Mkuu
Lissu-Waziri wa Sheria
Mbowe-Waziri wa Fedha
You must be joking on red..!! Another Basil Mramba on making.
ccj mtafanya nini ambacho wapinzani wameshindwa kukifanya tokea 1992, maana ili wananchi wajenge imani na nyinyi ni lazima mseme sisi tutafanya abc ambacho wapinzani wameshindwa kukifanya toka 1992
ukinijibu hilo na nikaridhika nitajiunga ccj kwa njia ya mtandao
Nitashukuru ukinipa mfano wa hapa nyumbani. Wengine yanayotokea huko kwenu majuu sio authority ya mitazamo yetu....hivyo nashindwa kuelewa hoja yako
Mfano wa nini? Wa viongozi walio insensitive na shida za watu? Hivi hakuna kiongozi Tanzania aliyewahi kusema hata ikibidi Watanzania kula nyasi watakula lakini lazima ndege ya raisi itanunuliwa....au huyo alikuwa kiongozi wa majuu? Au hakuna kiongozi aliyewahi kutoa kauli kama hiyo Tanzania?
Tunasukumiziwa katika makoo yetu chama kimoja tu kuwa ndicho pekee chafaa kuungwa mkono katika kuiangusha CCM. Tunaambiwa vyama vingine viungane nacho kwa sababu kimeonesha uongozi na kuwa ndiyo "upinzani" wa kweli. Wapo watu wanaoamini kabisa jambo hili. Wanaamini kuwa CHADEMA ndicho chama hasa mbadala kinachoweza kuchukua uongozi wa taifa letu toka mikononi mwa CCM.
Kama nilivyouliza huko nyuma ni mambo gani Chadema wamefanya kustahili kuongoza leo naomba nidokeza swali hili ambalo ni muhimu.
Je Chadema ilivyo sasa iko tayari kuongoza taifa la watu milioni 40 kwa ubora na kwa maono bora zaidi na mfano mzuri wa kiuongozi katika ngazi zote kuliko CCM? Ni nini msingi wa imani ya wale wanaoona kuwa iko tayari?
Mwenyewe ni na maoni yangu.. naomba nisikie ya kwenu.
Ukiwa makini utaona swali linahusu Chadema na utayari wao kuongoza.. nje ya hapo ni red herring.
Hili swali sijui kama limepatiwa jibu; wengine wanaweza kufikiria nimeliuliza leo kwa vile 'nimenunuliwa'
Mzee kwani uko kwenye mashindano ya kufukua mada za zamani?
Mama yangu eti waziri wa fedha awe mbowe c benki za Dubai zitajaa fedha zetu! Kashindwa kulipia hata pango za biashara zake sembuse!!why not mkullo???

Umeonesha msimamo thabiti juu ya unachokiamini.......hongera sana.Hili swali sijui kama limepatiwa jibu; wengine wanaweza kufikiria nimeliuliza leo kwa vile 'nimenunuliwa'
CDM Tayari imeisha jidhihirisha kuwa iko tayari kuwa chama mbadala kutawala Tanzania.Kama ni hivi, nani au chama gani kinaweza kuwa chama mbadala?
Wewe CCM imekusaidia nini zaidi ya kufanya maisha kuwa magumu. Nchi inaface deflation na inflation at da same time.Vyama karibia vyote Sera hakuna hata mojs isipokuwa tu moja kubwa kuiondoa ccm; EMB niambie upinzani wamefanya nini tangia uchaguzi umeisha zaidi ya kuandaa maandamano na migomo! Yawezekana kisingizio kikawa kuwa wanaminywa ok basi hata mitandao ya kijamii wangetujuza wana mikakati gani ya kutukomboa na huu umaskini!!
Bac awe baba yakoMama yangu eti waziri wa fedha awe mbowe c benki za Dubai zitajaa fedha zetu! Kashindwa kulipia hata pango za biashara zake sembuse!!![]()
![]()
![]()
![]()
Hili swali sijui kama limepatiwa jibu; wengine wanaweza kufikiria nimeliuliza leo kwa vile 'nimenunuliwa'
wewe inakutisha cdm tu ila ccm iko powa etieee.. iendelee tu?ndiyo hicho kinachonitisha sana... maana yawezekana kwa wengine huo ndio uongozi wenyewe..