CHADEMA iko tayari kuongoza?

Miafrika ndio tulivyo....mtu akijiamini..ana jeuri...anajisikia...anajifanya mjuaji....etc etc

Wala sio hivyo. Hata mizungu na yenyewe inayo watu kama hao ndio maana unasikiaga watu kuitana ma elites...out of touch...insensitive..arrogant...nk.

Kuwa kiongozi unahitaji haiba flani..you have to have the spirit of humbleness in you...mwaka 1992 kwenye mdahalo wa uraisi wa Marekani...kuna mhudhuriaji mmoja aliuliza swali ambalo raisi wa kipindi kile G.H.W. Bush hakulijibu vizuri kutokana na kutokulielewa au kutoku-relate nalo. Ilipokufika zamu ya gavana wa Arkansas....aka slam dunk na "I feel your pain".....from there on out it was a wrap for G.H.W. Bush....watu wakaona Clinton ndiye mtu aliyekuwa anaelewa matatizo yao
 
Huu uzi ni kuhusu CHADEMA sasa inaonekana imepigwa mbiu hapa kichwa cha uzi kinakuwa CCJ na Mwanakijiji..WTF ?
 
Nitashukuru ukinipa mfano wa hapa nyumbani. Wengine yanayotokea huko kwenu majuu sio authority ya mitazamo yetu....hivyo nashindwa kuelewa hoja yako
 
Nitashukuru ukinipa mfano wa hapa nyumbani. Wengine yanayotokea huko kwenu majuu sio authority ya mitazamo yetu....hivyo nashindwa kuelewa hoja yako

Mfano wa nini? Wa viongozi walio insensitive na shida za watu? Hivi hakuna kiongozi Tanzania aliyewahi kusema hata ikibidi Watanzania kula nyasi watakula lakini lazima ndege ya raisi itanunuliwa....au huyo alikuwa kiongozi wa majuu? Au hakuna kiongozi aliyewahi kutoa kauli kama hiyo Tanzania?
 
Lakini unakubali kuwa kuifurumusha CCM kutoka madarakani ndio mwanzo wa suluhisho la matatizo yetu?

Not at prima facie; yawezekana ukawa mwanzo wa matatizo mengi na makubwa zaidi. Kwa kadiri ya kwamba hatujui wanaotaka kuja wanataka nini. Kama wanachotaka ni kuiondoa tu CCM madarakani halafu ndio watuambie wanachokitaka tutakuwa ni miongoni mwa watu wasio na hekima kabisa duniani.

Ikiwa juu yangu mimi basi nitaanza na kuondoa wasteful spending e.g. kama kuwaleta Brasil kwa ada ya dola milioni 6 na ushee...huu ni mfano tu wa wasteful spending kama vile hatuna matatizo mengine yaliyo pressing zaidi....

NN wewe ni mtu kwanza kuja na jambo mojawapo la kusema utafanya nini. So.. tusikie wao watafanya nini and not as vague as "kuondoa wasteful spending".. vinginevyo watafanya kama Obama na idea yake ya "kuondoa wasteful spending".
 
Huu uzi ni kuhusu CHADEMA sasa inaonekana imepigwa mbiu hapa kichwa cha uzi kinakuwa CCJ na Mwanakijiji..WTF ?

of course nilitarajia hivyo kwa sababu hawataki kujiangalia wenyewe na badala yake wanataka tuangalie pembeni.. tukiuliza wanatuambia CCM, tukiuliza wanasema CCJ.. hawataki kusema Chadema.
 
Yaani sijaelewa kabisa na jinsi watanzania tunavyojishusha.
Watu wanadhani sisi M iliundwa kutawala milele hata wakiweka jiwe kama mgombea litashinda?
Mimi sioni mjadala huu una maana gani. Mwanakijiji, nina hakika Chadema wana mipango yao kama Chama na si lazima waiweke hapa. Subiri muda ukifika wataiweka hadharani. Na nina amini wakipewa ridhaa wanaweza. Kwa nini wasiweze? kwa sababu ipi we unadhani hawawezi?
Hata hivyo ni aibu watanzania kusema hakuna chama cha upinzani kinachoweza kutawala ingawa sisi hatulidhiki na utawala. Maana yake ni kwamba hata wanaopiga kelele wanataka kutuambia na wao hawawezi.

Mipango yao "ipo".. kuanzia 1995.. haijawashawishi wananchi bado.. unafikiri wakija nayo tena 2010 ndiyo imekuwa mipya?
Kumbukeni pia na mfumo wa uchaguzi wetu ulivyo. Si kwamba upinzani haushindi, ila foul ni nyingi kwa kweli.

well.. tunasema kitu kile kile au kingine..

Mwanakijiji niliwahi kusema kitu kuhusu Sisi j siku za nyuma na nadhani mashaka yangu ni yale yale.

NInawapenda watu wenye mashaka zaidi kuliko watu wasio na mashaka.. kwani hawa ndio wanatufanya tuwe in check.
 
Not at prima facie; yawezekana ukawa mwanzo wa matatizo mengi na makubwa zaidi. Kwa kadiri ya kwamba hatujui wanaotaka kuja wanataka nini. Kama wanachotaka ni kuiondoa tu CCM madarakani halafu ndio watuambie wanachokitaka tutakuwa ni miongoni mwa watu wasio na hekima kabisa duniani.

Nakubaliana nawe kabisa kuwa lazima tunaotaka au wanaotaka kuiondoa CCM lazima tuwe/wawe na mipango ya nini watafanya ambacho CCM wameshindwa kufanya endapo wakishika madaraka

Halafu sijui ni mimi tu au na wengine mnafikiria kama mimi. CCM wamefanya madudu mengi mno kiasi kwamba wamewarahisishia wapinzani wao kujenga hoja dhidi yao. Kwa hiyo sioni ugumu wa vyama vya upinzani kwa mfano kushindwa kuelezea kwa ufasaha (ku articuate) nini watakachofanya pindi watakapofanikiwa kuchukua madaraka.

Hizi siasa za bongo bana..si CCM si wapinzani...wote hovyo tu.
 
Nakubaliana nawe kabisa kuwa lazima tunaotaka au wanaotaka kuiondoa CCM lazima tuwe/wawe na mipango ya nini watafanya ambacho CCM wameshindwa kufanya endapo wakishika madaraka

Hizi siasa za bongo bana..si CCM si wapinzani...wote hovyo tu.

wenzetu hawataki hilo.. wao wanataka waiondoe kwanza CCM halafu mengine yatafuata..
 
wenzetu hawataki hilo.. wao wanataka waiondoe kwanza CCM halafu mengine yatafuata..

CCJ mtafanya nini ambacho Wapinzani wameshindwa kukifanya tokea 1992, maana ili wananchi wajenge imani na nyinyi ni lazima mseme Sisi tutafanya ABC ambacho wapinzani wameshindwa kukifanya toka 1992

Ukinijibu hilo na nikaridhika nitajiunga CCJ kwa njia ya Mtandao
 
Oh hell no..Zitto hana temparament ya kuwa kiongozi wa juu hivyo. Hafai kabisa. Ni mjeuri, mwenye kujisikia, na wa kujifanya mjuaji sana. Hafai kabisa huyu kadogoo.

Kitila mbona hujamweka hapo? Hata dogo Mnyika ana afadhali mara 100 kuliko Zitto....

Wote hao watakuwa kwenye baraza lao (dogo) la Mawaziri, walau wana watu wengi wenye hulka ya kuongoza na wanaokubalika.
 
CCJ mtafanya nini ambacho Wapinzani wameshindwa kukifanya tokea 1992, maana ili wananchi wajenge imani na nyinyi ni lazima mseme Sisi tutafanya ABC ambacho wapinzani wameshindwa kukifanya toka 1992

Ukinijibu hilo na nikaridhika nitajiunga CCJ kwa njia ya Mtandao

well.. stand and be amazed!
 
Back
Top Bottom