Idugunde
JF-Expert Member
- May 21, 2020
- 6,273
- 6,637
Ni cardinal rule kuwa anayetoa shutuma lazima athibitishe.
Jamhuri ya Tanzania imetoa shutuma kuwa Mbowe na wenzake walipanga njama ili kutekeleza ugaidi. Hili jukumu la kuthibitisha waachiwe Jamhuri ili kuthibisha.
Madai kuwa kuna njama za kuwakandamiza watuhumiwa hazina mashiko maana suala lipo mahakamani.
Kudai na kutoa shutuma kupitia mitandao kuwa Detention rejesta ilichakachuliwa au Rpc Kingai anatumia mamlaka yake kuficha ushahidi sio hoja.
Hoja hapa ni kama Jamhuri wanaushahidi basi wathibishe, kama watuhumiwa hawana kosa basi wadisprove hizo tuhuma.