CHADEMA bwana

CHADEMA bwana

ndo uamini kuwa siasa si hasa!! Ngoja nikupe mistari fulani ya lawino enzi hizo(naamin kama ulikisoma utaniunga mkono.)

lawino aliwahi kusema

men with soft hearts,
men with soft blunt eyes
who are shy to tell the biggest lies
who are afraid
to repeat them in the presence
of their mothers and children,
to repeat empty lies
before their wives
and before their wives mothers,
such soft-necked men
should stay at home!!

Sasa kwenye siasa we unataka actions vya nini?
eti eeh kila mtu anaishi kwa bongo yake bwana no one cares.makelele tu hatuoni action bwana?

wewe ndo hujui lolote kazi kukaa tu vijiweni na kupiga makelele? Kwanza uchaguzi wenyewe zaidi ya nusu hamkupiga kura mlikuwa mnategemea nini amkeni basi asubui siku moja mumpeleke huyo slaa wenu ikulu watanzania mnajua kuongea tuu
Bebii vipi mama? Swaumu kali?? Njoo hapa msikitini kwetu kwa mtogoe mikeka mingi tu utapata nafasi ya kupumzika ukisubiri futuru

usiingie kichwa kichwa... Huyu binti anawashwa
na nini? Unawashwa wewe na mdomo si mkaimbe hata kwaya msifie uumbaji wa mungu?

Ni mara nyingi huwa nasikia makelele kuhusu matatizo mengi yanayotukabili from hicho chama ila sijawai kuona wamefanya action yoyote kama ni shida watu wanaendelea kupata shida.

Hivi kuna mtu anaeweza kusema cdm imemsaidia nini yaani imemtoa sehemu flani kwenda sehemu flani? Tukubali watanzania kila mtu anaishi kwa akili na juhudi zake mwenyewe hamna cha chama kitukufu wala cha CHADEMA hapa,ULE ,USILE, UUGUE UFE no one cares. Acheni makelele angalieni mbinu mbadala za kujikwamua kimaisha.
Unatumia makalio kufikiria, Kajipange uje tena. Hivi umeamka sa'ngapi??

ugomvi si swala la msingi, kila mtu ana mtazamo wake kwenye vyama vya siasa,

wale wa sisiemu tuambieni mafanikio

wa chadema semeni

wa tlp?

wa ensisiaramageuzi?

sijui wa nini!

Bebii vipi mama? Swaumu kali?? Njoo hapa msikitini kwetu kwa mtogoe mikeka mingi tu utapata nafasi ya kupumzika ukisubiri futuru
SI UNAONA KAZI KUKAA TU KWENYE MIKEKA? FANYA KAZI KIJANA UKOMBOZI WA MAISHA YAKO UPO MIKONONI MWAKO MWENYEWE NA SIO KWA slaa wala mbowe.

TRA kuanzia mwaka huu itakuwa inachukua 2.2 million kama kodi kutokana na mshahara wa 7.4 million wa Askofu na Dk of Cannon Law, Wilbros Slaa! kwa miezi 12 ni sh. mil 26.64!
Hapa Uone ni kwa jinsi gani CDM wanavyoiibia serikali!

<br / kazi ya kukusanya kodi ni ya slaa au tra?kila mfanyakazi anatakiwa alipe kodi na kodi hii huwa inakatwa moja kwa moja sasa na km hawakuwa wakimkata slaa ukubaliane na mimi kuwa Serikaki ya ccm ni legelege inashindwa kukusanya kodi, km slaa ni kiongozi wa upinzani asiyependwa na serikaki na kwa uzembe walikua hawamkati kodi je NI VIONGOZ WA NGAPI WA SERIKALI WATAKUA HAWAKATWI KODI kwa kusudi 2 au kwa uzembe?

unatumia makalio kufikiria, kajipange uje tena. Hivi umeamka sa'ngapi??
haijalishi unafikiria kwa wapi? Je unafikiria nini ? Hadi unaandika hivo unajua umefikiria kwa wapi boya

Kati yako na Flora nani mkubwa?

Naona wewe unatema pumba tu.. bora Flora ana akili kidogo!

watoto wa Papaa Msoffe mnanisikitisha sana![/QUOTE

Rejao.

Mpenda amani wewe huko Arusha, Nasikia Arusha, Karatu, Kilimanjaro, Saruji mfuko mmoja sh5000?

YUPO DAR ARUSHA LABDA UKWENI LOOL

wewe umesoma wapi? Heri mimi ya kata kuliko wewe ulieishia la pili

TEHEHEHEHE LA PILI LA UKWELI NA LA 7 LA KATA KIPI BORA! TENA YAELEKEA KUNA MTU ANAKUANDIKIA WE UNA PASTE BRI BRIIIIII,!!

tehehehehe huko ni kufukuza upepo acha kushindana na kitu usichokifaham!
mashauzi ya nini dada yangu hata kama umesoma havard hainisaidii? Sory kwanza nipotezee

Hahaa Nape kweli ana kazi; hawa magamba aliowaweka humu wote vilaza; hawawezi hata kutetea hoja zao, kazi kubisha tu!

Mfano mzuri moshi mjini wanaongozwa na CDM maendeleo yao unayaona je ikiwemo kwenye usafi
Mfano wa kuingwa ni Musoma iko chini ya chadema miezi saba tu Elimu bure yaani wamefuta michango yote mfano michango ya majengo, madawati,mlinzi, choo, mihuri, mitihani na mahafari..upande usafi wana jitahidi sana, wamefunda migambo wote, mama ntile wanafanya biasha bila kulipa ushuru, wamejenga madaraja zaidi ya 20 na barabara zake ambazo CCM walishindwa kwa miaka 50....

Halafu haikusaidii....ni bora la pili lakini likusaidie..

<br / bebii wanajikojolea,& kujinyea muda wa kwenda shule haujafika subiri ukue kwanza usome uje uchangie michango ya maana hp jf! Sawa bebii? Haya ushakunywa uji kojoa ukalale,

TRA kuanzia mwaka huu itakuwa inachukua 2.2 million kama kodi kutokana na mshahara wa 7.4 million wa Askofu na Dk of Cannon Law, Wilbros Slaa! kwa miezi 12 ni sh. mil 26.64!
Hapa Uone ni kwa jinsi gani CDM wanavyoiibia serikali!
Mpaka waambiwe serikali legelege ndiyo wakusanye kodi...

<br / bebii wanajikojolea,& kujinyea muda wa kwenda shule haujafika subiri ukue kwanza usome uje uchangie michango ya maana hp jf! Sawa bebii? Haya ushakunywa uji kojoa ukalale,
habari ndo iyooo

Back
Top Bottom