wewe unaelewa nini kwani si upo upo tu? Nini mnafanya la maana zaidi ya makelele ya kuuza magazeti?

Bebii ntakufinya wewe endelea kunichokoza tu.

wewe unaelewa nini kwani si upo upo tu? Nini mnafanya la maana zaidi ya makelele ya kuuza magazeti?

<br / JAHAZ MODERN TAARAB WANAHTAJI MWIMBAJI, wahi mpendwaeeeeeeeeeeh?
Vipi Ritzwani pole kwa saumu kali, leo umealikwa wapi futari?Bebii unanifurahisha naona unaangusha moja moja kama vile unacheza Wrestling

kuna liingine mnajua zaidi ya kupigana umfinye nani wewe?
Leo takuwa kwa Mchungaji Israel Natse wa Karatu ndio kanialika leoVipi Ritzwani pole kwa saumu kali, leo umealikwa wapi futari?
Hivi kuna mtu anaeweza kusema cdm imemsaidia nini yaani imemtoa sehemu flani kwenda sehemu flani? Tukubali watanzania kila mtu anaishi kwa akili na juhudi zake mwenyewe hamna cha chama kitukufu wala cha CHADEMA hapa,ULE ,USILE, UUGUE UFE no one cares. Acheni makelele angalieni mbinu mbadala za kujikwamua kimaisha.
Okey safi sana, hapo mtapata nyama ya nguruwe safi kabisa. Vipi mmepokea msaada wa alua tani ngapi kutoka uarabuni safari hii?Leo takuwa kwa Mchungaji Israel Natse wa Karatu ndio kanialika leo

bebii..,

Katika siku zote, leo umenifurahisha!

Kweli unajua kuitizama siasa kwa jicho la tatu!
Duh nchi hii kweli ina list ndefu ya mazuzu,anayekusanya kodi ni nani au hujui kwa sababu wanajinufaisha wao na wake na watoto wao,njaa kaliNi mara nyingi huwa nasikia makelele kuhusu matatizo mengi yanayotukabili from hicho chama ila sijawai kuona wamefanya action yoyote kama ni shida watu wanaendelea kupata shida.
Hivi kuna mtu anaeweza kusema cdm imemsaidia nini yaani imemtoa sehemu flani kwenda sehemu flani? Tukubali watanzania kila mtu anaishi kwa akili na juhudi zake mwenyewe hamna cha chama kitukufu wala cha CHADEMA hapa,ULE ,USILE, UUGUE UFE no one cares. Acheni makelele angalieni mbinu mbadala za kujikwamua kimaisha.
ni kujue wa nini

Nahisi huyu bebii kama jina lake, ni walewale waliokulia kwa kodi zetu alafu analeta jeuri za kitoto. Hana hoja

Ni mara nyingi huwa nasikia makelele kuhusu matatizo mengi yanayotukabili from hicho chama ila sijawai kuona wamefanya action yoyote kama ni shida watu wanaendelea kupata shida.

Hivi kuna mtu anaeweza kusema cdm imemsaidia nini yaani imemtoa sehemu flani kwenda sehemu flani? Tukubali watanzania kila mtu anaishi kwa akili na juhudi zake mwenyewe hamna cha chama kitukufu wala cha CHADEMA hapa,ULE ,USILE, UUGUE UFE no one cares. Acheni makelele angalieni mbinu mbadala za kujikwamua kimaisha.
Afadhali ukatolewe MAJINI na MAPEPO yoote uliyonayo. Waalike na wenzako wakapate kufunguliwa!Leo takuwa kwa Mchungaji Israel Natse wa Karatu ndio kanialika leo

Ni mara nyingi huwa nasikia makelele kuhusu matatizo mengi yanayotukabili from hicho chama ila sijawai kuona wamefanya action yoyote kama ni shida watu wanaendelea kupata shida.

Hivi kuna mtu anaeweza kusema cdm imemsaidia nini yaani imemtoa sehemu flani kwenda sehemu flani? Tukubali watanzania kila mtu anaishi kwa akili na juhudi zake mwenyewe hamna cha chama kitukufu wala cha CHADEMA hapa,ULE ,USILE, UUGUE UFE no one cares. Acheni makelele angalieni mbinu mbadala za kujikwamua kimaisha.
Sisi Paganism hatuna majiniAfadhali ukatolewe MAJINI na MAPEPO yoote uliyonayo. Waalike na wenzako wakapate kufunguliwa!
ni raisi wako pia

mbinu mbadala ni KUMNG'OA KIKWETE NA SERIKALI YK MADARAKANI

Majimbo yote ya CDM yako juu sana mahosipital yamejaa dawa,shule za kata zina walimu wengi kuliko wanafunzi,barabara zimejengwa mpaka chumbani,mabomba ya maji yanatoa maziwa na asali CDM hoyeeeeeeeeeeeeeeeeee.