CHADEMA bwana

heri mimi natumia hayo wewe unatumia nini? kichwa lakini unafikiria upupu

manini hayo unatumia makwapa au makwato! Pole xana ulitegemea kupata bwana umekosa umeanza kutema upupu na mapovu yanakutoka khaa! Teh teh teh hapa ni jf atupo kutongozana rudi facebk

uhoji nini na ameshinda kweli chadema si mlilala nyumbani huko. Mnachonga tuu mbona hamuwapigii watu makelele kwanini hawakupiga kura? Hamuoni ilo ni tatizo?

Hivi nani kakuambia mimi nipo chadema? Hivi chadema inawasumbua sana kichwa? kwa taarifa yako mimi nipo CCM sikipendi chadema kwasababu tulishawahi kuambiwa na viongozi wetu kwamba Vyama vya upinzani vitaleta vita nchini kwetu, na isitoshe tulishawahi kuonyeshwa visu vilivyoingizwa bandarini na CUF na tulionywa tusikifuate hiki chama kwamba ni cha kidini, pia tuliambiwa Chadema nao ni chama cha kidini na kikanda hivyo tusiwasikilize kwa lolote, tunasisitizwa kwamba CCM ni chama pekee cha kukifuata maana kimeweza kudumisha amani na mshikamano kwa mda mrefu na kuboresha maisha ya watanzania, wanaokufa nyamongo wamejitakia wenyewe maana wana wabugudhi wawekezaji wetu.

Majimbo yote ya CDM yako juu sana mahosipital yamejaa dawa,shule za kata zina walimu wengi kuliko wanafunzi,barabara zimejengwa mpaka chumbani,mabomba ya maji yanatoa maziwa na asali CDM hoyeeeeeeeeeeeeeeeeee.

Chadema ni chama 2 kam vilivyo vyama vingine lakin serikali ni moja na imtoka kwenye chama cha siasa ccm ivo tuwape na chadema nafasi tuone maan iki (ccm)tumekichoka.

huyu bwana alipimwa juzi akapatikana na malaria 1000!!!!!!!!! anazo dk 2 tu za kuishi!!

Majimbo yote ya CDM yako juu sana mahosipital yamejaa dawa,shule za kata zina walimu wengi kuliko wanafunzi,barabara zimejengwa mpaka chumbani,mabomba ya maji yanatoa maziwa na asali CDM hoyeeeeeeeeeeeeeeeeee.
kama lipi

ww ulingia jf iliupate mpenzi ndio maana ukachagua ID ya kimahabamahaba"bebii",nakutafutia post uliyosema utabanana jf mpaka umpate mume,huku sahau mtoto nenda Facebook!bebii usitumie tena hayo makalio kufikiri umesikia mtoto mzuri! Nenda kakojoe upumzike!

Great thinkers hawa wa 2011 .. mna replay posts kwa style hii....

too childish

Hujanielewa, usiwe fasta kwenye kujibu, mimi nilipiga kura na kwa mujibu wa tume ya uchaguzi Kikwete alishinda. Na kwa mujibu wa Katiba sitakiwi nihoji chochote, natakiwa nikubaliane na matokeo tuu

ALISHINDA KWA KUCHAKACHUA K.
HATA WATOTO WANAJUA LOOOL

bebii..,

Katika siku zote, leo umenifurahisha!

Kweli unajua kuitizama siasa kwa jicho la tatu!

HIVI REJAO WE C WALE MADEREVA WA STK UNAUMWA MBU USIKU KUCHA UKISUBIRIA GARINI BOSI WAKO ATOKE KWA KIMADA! KWANINI UNAPENDA KUJIPA MOYO WA PLASTICK? KUBALI CCM KWISHA KAZI! NJOO CHADEMA UTAPATA URUBANI KWA MHESHMIWA WETU NDESA PESA TEHETEHEEE!ACHA KUHANGAIKA NA MAGAMBA,HUKO INABIDI UWE R.A NDO UTAPATA HELA,LA SIVYO UTAENDLEA KUUMWA NA MBU TU! MWA_MWI

HIVI REJAO WE C WALE MADEREVA WA STK UNAUMWA MBU USIKU KUCHA UKISUBIRIA GARINI BOSI WAKO ATOKE KWA KIMADA! KWANINI UNAPENDA KUJIPA MOYO WA PLASTICK? KUBALI CCM KWISHA KAZI! NJOO CHADEMA UTAPATA URUBANI KWA MHESHMIWA WETU NDESA PESA TEHETEHEEE!ACHA KUHANGAIKA NA MAGAMBA,HUKO INABIDI UWE R.A NDO UTAPATA HELA,LA SIVYO UTAENDLEA KUUMWA NA MBU TU! MWA_MWI

Ni kutokana na misimimo hii ya kimapinduzi Tanzania chini uongozi wa CCM imejijengea sifa ya kukemea uovu na uonevu ndani na nje ya mipaka yetu. Leo hii Tanzania inatembea kifua mbele ikijivunia amani, umoja na mshikamano wa watu wake mambo ambayo yamejengwa na kusimamiwa barabara na Chama Cha Mapinduzi. Tanzania ina sifa ya kujisimamia na wala haiyumbishwi.
Viva CCM!

nyie magamba ni MAGUNIA YA MA.VI MSIPOTUSHINDA KWA UZITO MTATUSHINDA KWA HARUFU hamna lolote jipya majizi wakubwa nyie
Kati yako na Flora nani mkubwa?
Naona wewe unatema pumba tu.. bora Flora ana akili kidogo!
watoto wa Papaa Msoffe mnanisikitisha sana!

kama hutaki kunijua kwa nini unafananisha akili yangu na yako? Huenda wewe ndo huingii hata robo kwenye akili yangu
akili yako inanisaidia nini? kujifagilia tu huna lolote wewe

Back
Top Bottom