CHADEMA bwana

CHADEMA bwana

Smile

JF-Expert Member
Joined
Jul 18, 2011
Posts
15,347
Reaction score
11,628
Ni mara nyingi huwa nasikia makelele kuhusu matatizo mengi yanayotukabili from hicho chama ila sijawai kuona wamefanya action yoyote kama ni shida watu wanaendelea kupata shida.

Hivi kuna mtu anaeweza kusema cdm imemsaidia nini yaani imemtoa sehemu flani kwenda sehemu flani? Tukubali watanzania kila mtu anaishi kwa akili na juhudi zake mwenyewe hamna cha chama kitukufu wala cha CHADEMA hapa,ULE ,USILE, UUGUE UFE no one cares. Acheni makelele angalieni mbinu mbadala za kujikwamua kimaisha.
 
Ni mara nyingi huwa nasikia makelele kuhusu matatizo mengi yanayotukabili from hicho chama ila sijawai kuona wamefanya action yoyote kama ni shida watu wanaendelea kupata shida.

Hivi kuna mtu anaeweza kusema cdm imemsaidia nini yaani imemtoa sehemu flani kwenda sehemu flani? Tukubali watanzania kila mtu anaishi kwa akili na juhudi zake mwenyewe hamna cha chama kitukufu wala cha CHADEMA hapa, no one cares. Acheni makelele angalieni mbinu mbadala za kujikwamua kimaisha.

Jina lako ni sawa sawa na uelewa wako na tafakari yako. nilitaka kucoment lakini nimegundua hautanielewa kutukana na uwezo wa kifikra ulio nao.

my friend accept that you know nothing so that you can get a chance to learn.
 
bebii..,
Katika siku zote, leo umenifurahisha!
Kweli unajua kuitizama siasa kwa jicho la tatu!
 
Nahisi umekosea platform, hapa sio mahali pako

Ni mara nyingi huwa nasikia makelele kuhusu matatizo mengi yanayotukabili from hicho chama ila sijawai kuona wamefanya action yoyote kama ni shida watu wanaendelea kupata shida.

Hivi kuna mtu anaeweza kusema cdm imemsaidia nini yaani imemtoa sehemu flani kwenda sehemu flani? Tukubali watanzania kila mtu anaishi kwa akili na juhudi zake mwenyewe hamna cha chama kitukufu wala cha CHADEMA hapa, no one cares. Acheni makelele angalieni mbinu mbadala za kujikwamua kimaisha.
 
Mnamlaumu kwa maneno makubwa makubwa ya nini sasa wakati mtu mwenyewe ni mtoto a.k.a. bebii. Badala ya kumshauri arudi kwa mamaake akamuondolee pampers mnamuambia eti cdm haiongozi serikali, kwani aliwaambia anajua hata hiyo serikali ni nini! Nyie sijui mkoje?
 
Ni mara nyingi huwa nasikia makelele kuhusu matatizo mengi yanayotukabili from hicho chama ila sijawai kuona wamefanya action yoyote kama ni shida watu wanaendelea kupata shida.

Hivi kuna mtu anaeweza kusema cdm imemsaidia nini yaani imemtoa sehemu flani kwenda sehemu flani? Tukubali watanzania kila mtu anaishi kwa akili na juhudi zake mwenyewe hamna cha chama kitukufu wala cha CHADEMA hapa, no one cares. Acheni makelele angalieni mbinu mbadala za kujikwamua kimaisha.
mwalimu wangu aliniambia kujua swali ni nusu ya kufauru...hivyo kwa kazi wanayoifanya CHADEMA kuwaaniaka mafisadi ni hatua kubwa sana...mfano EPA tuliambiwa pesa zimerudi zikapelekwa kwa wakulima hiyo siyo kazi nzuri
 
bebii hujui kitu masikini!!! Hujui nini maana ya Chama cha siasa, hujui kuhusu serikali, hujui siasa inaapply vipi kwenye maisha yako doh! Pole sana
 
jina lako ni sawa sawa na uelewa wako na tafakari yako. Nilitaka kucoment lakini nimegundua hautanielewa kutukana na uwezo wa kifikra ulio nao.

My friend accept that you know nothing so that you can get a chance to learn.
wewe ndo hujui lolote kazi kukaa tu vijiweni na kupiga makelele? Kwanza uchaguzi wenyewe zaidi ya nusu hamkupiga kura mlikuwa mnategemea nini amkeni basi asubui siku moja mumpeleke huyo slaa wenu ikulu watanzania mnajua kuongea tuu
 
We bebii! Nilitamani sana niseme nawe kwa kirefu kidogo ila nikagundua mambo makubwa kwa namna moja ama nyingine ambayo inaweza ikawa ndiyo upungufu kwako. Sitasema yote ila moja kubwa ni MAKENGEZA uliyonayo inakupata tabu ya uwelewa. Pole sana!
 
bebii hujui kitu masikini!!! Hujui nini maana ya chama cha siasa, hujui kuhusu serikali, hujui siasa inaapply vipi kwenye maisha yako doh! Pole sana
yaani akili yangu huna hata robo yake.si mngepiga kura zaidi ya nusu ya wapiga kura hamkupiga kura na wewe ni mmojawapo sasa iyo serikali walioiweka waacheni maana waliona inawafaa
 
we bebii! Nilitamani sana niseme nawe kwa kirefu kidogo ila nikagundua mambo makubwa kwa namna moja ama nyingine ambayo inaweza ikawa ndiyo upungufu kwako. Sitasema yote ila moja kubwa ni makengeza uliyonayo inakupata tabu ya uwelewa. Pole sana!
wewe una macho yote ila yote mabovu
 
chadema ina serikali ...? sera zinatekelezwa na chama kitakachokua madaraka

shut up ...... hujui siasa wewe
Issue siyo seriksli ni vision ya kuyatekeleza hayo unayoyahubili ? usiwaambie watu unauwezo wa kumaliza umasikini wao bila fomula? chadema wanaongeza miji mingi lakini tangu wapewe hali ni mbaya zaidi sasa unataka tuamini vipi kuwa uwezo mmnao?
 
mwalimu wangu aliniambia kujua swali ni nusu ya kufauru...hivyo kwa kazi wanayoifanya chadema kuwaaniaka mafisadi ni hatua kubwa sana...mfano epa tuliambiwa pesa zimerudi zikapelekwa kwa wakulima hiyo siyo kazi nzuri
wakulima wapi? Wewe au mjomba wako au shangazi yako kuna ambae amezipata?
 
yaani akili yangu huna hata robo yake.si mngepiga kura zaidi ya nusu ya wapiga kura hamkupiga kura na wewe ni mmojawapo sasa iyo serikali walioiweka waacheni maana waliona inawafaa

Hapo kwenye BOLD umejidanganya sana, hunijui mimi ni nani wala hutanijua kamwe NEVER, all i do is FAKE IDs everywhere. Kubali wewe una chuki binafsi na Slaa
 
Acha dharau wewe majimbo yaliyochukuliwa na cdm hayana kitu kinaitwa njaa, hospital ni nyingi kuliko idadi ya watu, shule usiseme na majimbo yao umeme ni full na mandhari ni kama ulaya ulaya vile si unajua mambo ya magadeni ya kumzikia na mazagazaga kibao ya kupendezesha miji? we chukulia mfano wa hai na karatu huwezi kukuta watu wana shida hata kidogo. !
 
hapo kwenye bold umejidanganya sana, hunijui mimi ni nani wala hutanijua kamwe never, all i do is fake ids everywhere. Kubali wewe una chuki binafsi na slaa
ni kujue wa nini for what? Never sitaki kukujua. Nijue mtu fake?
 
Back
Top Bottom