Chadema acheni kuwatetea mapacha watatu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Chadema acheni kuwatetea mapacha watatu

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Makupa, Jul 10, 2011.

 1. M

  Makupa JF-Expert Member

  #1
  Jul 10, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 2,742
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 145
  Gazeti linalomilikiwa na CDM kwa mara nyingine tena toleo la leo jumapili lina taarifa yenye mwelekeo dhahiri wa kuwabeba mapacha watatu.Ni aibu kwa chama kinachojipambanua kupinga ufisadi wakati huo huo kinatumika kuwatetea wanaotuhumiwa kujihusha na ufisadi.Ningependa kunukuu baadhi ya vifungu kama ifuatavyo: Lowassa, Rostam ,waandaliwa 'ZENGWE'
   
 2. zumbemkuu

  zumbemkuu JF Bronze Member

  #2
  Jul 10, 2011
  Joined: Sep 11, 2010
  Messages: 9,004
  Likes Received: 585
  Trophy Points: 280
  mambo? leo umesafisha kinywa?
   
 3. Jackbauer

  Jackbauer JF-Expert Member

  #3
  Jul 10, 2011
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 5,920
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  Kwa hiyo CDM ni members wa NEC-CCM.Hebu vueni gamba acheni porojo!
   
 4. Albedo

  Albedo JF-Expert Member

  #4
  Jul 10, 2011
  Joined: Feb 24, 2008
  Messages: 5,566
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  Aliyesema Edward, Andrew na Rostam Mafisadi ni nani? Watu safi kabisa hawa hata CCM imeshatuambia
   
 5. THINKINGBEING

  THINKINGBEING JF-Expert Member

  #5
  Jul 10, 2011
  Joined: Aug 9, 2010
  Messages: 2,726
  Likes Received: 854
  Trophy Points: 280
  Fikiri kabla ya kuandika acha kukurupuka.
   
 6. M

  Makupa JF-Expert Member

  #6
  Jul 10, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 2,742
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 145
  Naamini kabisa kuwa unajua kusoma TAFADHALI SANA nakuomba usome hili gazeti lenu tolea la leo AIBU GANI HII
   
 7. Ritz

  Ritz JF-Expert Member

  #7
  Jul 10, 2011
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 42,252
  Likes Received: 4,674
  Trophy Points: 280
  Kaka, unadhani CDM, wana dhamira ya dhati kuwakomboa Wananchi hamna kitu ni usanii mtupu wanafanya, wapo kimaslahi zaidi
   
 8. EasyFit

  EasyFit JF-Expert Member

  #8
  Jul 10, 2011
  Joined: Jul 4, 2011
  Messages: 1,244
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  Mbona mnatapatapa sana kama mmewashindwa kuwatoa accommodate them or you better keep quiet.
   
 9. Lunyungu

  Lunyungu JF-Expert Member

  #9
  Jul 10, 2011
  Joined: Aug 7, 2006
  Messages: 8,836
  Likes Received: 75
  Trophy Points: 145
  chadema hawana chombo chochote cha habari kuanzia gazeti hadi Radio sasa wewe unongelea gazeti la Mbowe na si Chadema .Na kama gazet hilo limeandika kuwatetea basi nawapa heko maana CCM hakuna wa kuwagusa .Chadema yaani Katibu mkuu wa Chama wamesha sema .Wabunge wamesema wewe unashangaa ?Som tena then tafakari what this gazeti is doing ni kuchochea fitina CCM waumane chama kife na si kuwatetea mapacha 3 .Kasome tena then utaona kwamba Chadema hawana gazeti ila hilo ni freemedia .Freeman Mbowe Media nenda huko wanako sajiri utaona haya nisemayo .
   
 10. M

  Makupa JF-Expert Member

  #10
  Jul 10, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 2,742
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 145
  hili gazeti linamilikiwa na chadema by proxy kupitia mbowe
   
 11. zumbemkuu

  zumbemkuu JF Bronze Member

  #11
  Jul 10, 2011
  Joined: Sep 11, 2010
  Messages: 9,004
  Likes Received: 585
  Trophy Points: 280
  acha uchoyo
   

  Attached Files:

 12. m

  mndeme JF-Expert Member

  #12
  Jul 10, 2011
  Joined: Sep 2, 2008
  Messages: 322
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  akili zako nyanya
   
 13. Lunyungu

  Lunyungu JF-Expert Member

  #13
  Jul 10, 2011
  Joined: Aug 7, 2006
  Messages: 8,836
  Likes Received: 75
  Trophy Points: 145
  Thibitisha madai yako mkuu maana hap JF uzushi si mahala pake .
   
 14. M

  Makupa JF-Expert Member

  #14
  Jul 10, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 2,742
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 145
  Matusi hayajengi
   
 15. M

  Makupa JF-Expert Member

  #15
  Jul 10, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 2,742
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 145
  Siku 365 za mwaka hili gazeti ni kuhusu CDM tu unataka uthibitisho gani zaidi
   
 16. Kibanga Ampiga Mkoloni

  Kibanga Ampiga Mkoloni JF-Expert Member

  #16
  Jul 10, 2011
  Joined: Aug 9, 2007
  Messages: 14,576
  Likes Received: 1,664
  Trophy Points: 280
  Vipi wabunge na Mawaziri walio mtetea CHENGE juzi? vipi waliomshangilia Lowasa Bungeni?
  Vipi walio wapa wenyekiti wa kamati za bunge hawa Mafisadi?
   
 17. Ritz

  Ritz JF-Expert Member

  #17
  Jul 10, 2011
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 42,252
  Likes Received: 4,674
  Trophy Points: 280
  Mkuu, na wenyewe wanafanya hayo kwa maslahi yao wenyewe
   
 18. kingxvi

  kingxvi JF-Expert Member

  #18
  Jul 10, 2011
  Joined: Feb 11, 2011
  Messages: 883
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  gazeti gani linamilikiwa na chadema! Ebu liseme tulijue? Bt najua unamaanisha gazeti la mwenyekiti wa chama? Lazima liwatetee sababu mwenyekiti wetu nae ni fisadi
   
 19. Mkwawa

  Mkwawa JF-Expert Member

  #19
  Jul 10, 2011
  Joined: Jun 8, 2011
  Messages: 1,291
  Likes Received: 195
  Trophy Points: 160
  CDM iliwaambieni siku nyingi habari za ufisadi wenu na majina mkapewa. Sasa mmeshindwa kuwajibishana mnatafuta mchawi. Watoeni basi hao mapacha mbona kelele nyingi? Kwani Mapacha ni wabunge kupitia chama gani? kwani ni wajumbe wa NEC wa chama gani? Wafukuzeni muone kama wataitaka kadi ya CDM. Tumieni akili hata za msalani kufikiri na kupambanua mambo enyi mliopotezwa na CCM kwa fedha kiduchu za NAPE.

  Mapacha wanawatesa sana, mziki mkubwa mmeshindwa kucheza. Siku tisini sasa nasikia 120 zitafika mtasema hatukumaanisha hivyo.
   
 20. V

  Vancomycin Senior Member

  #20
  Jul 10, 2011
  Joined: Jan 7, 2011
  Messages: 171
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0


  chadema wanamiliki vyombo vya habari tangu lini mkuu??
   
Loading...