CECAFA Senior Challenge: Kutoka Uganda

CECAFA Senior Challenge: Kutoka Uganda

mkuu nipe habari nasikia Ngassa ameuzwa dolla elfu 70 na azamu, ila Rage ni kama anazitaka hizo dolla kwa kigezo kuwa Ngassa ni mchezaji halali wa Simba...nani mwenye haki na Ngasa kati ya Rage na Azam.?

Mkuu tufanya tathmini ya mchezo wa leo....naona mnani-double pain
 
maskini Tanganyika weee, ni laana ya kuikana nchi yetu matokeo yake tumeimba wimbo wa Taifa la Tanzania na sio la Tanganyika.....
 
kocha kahojiwa hapa anasema timu bora ndiyo imeshinda mechi ingawa goli lao moja lilikuwa kama offside.

ila anasema leo alikuwa anawapa ubatizo wa moto madogo wa kilimanjaro stars. hivyo wamekomazwa kisawa sawa.

tusilalamike sana hata mbuyu ulianza kama mchicha.
 
Ngassa, Bocco na Kazimoto ni kama hawakuwa uwanjani leo......

Tujipange kwa mwakani.....Uganda wameupiga mpira wa ukwe
li leo......Tanzania tumedebweka leo....

Ba
ll possession ni Tanzania 35-65 Uganda......Uganda waistahii ushindi...

Tatizo kwa Tanzania
leo lilikuwa ni kiungo......Sure Boy alipwaya hivyo kumuacha Frank Domayo akihaha pekee dimbani....Pia Amri Kiemba hakuwa kwenye form leo......Kocha angemuingiza Chuji tangu kipindi cha kwanza....


Yote kwa yote niipongeze tu timu yetu hii i
liyoundwa na chipukizi kwa kandanda safi waliyoionesha.....Timu hii ni nzuri, ikitunzwa itatuletea mafanikio sana siku za usoni...

Asanteni sana wana JF kwa ushirikiano wenu ambao umepe
lekea kufanikiwa kwa Updates hizi za CECAFA Tusker Challenge Cup 2012.......

Tukutane tena siku ya mechi ya kumtafuta mshindi wa tatu kati ya Bara na Visiwani..........What a match to watch
 
Kwa ujuma Uganda hawakupaswa kuwa waandaaji wa mashindano haya mwaka huu.....Matatizo kibao....Umeme....Tope uwanjani n.k..............AIBU

Ki-ukweli Uganda bado iko nyuma sana kwa vitu vya maendeleo. Hata barabara zao ni mbovu mpaka jiji Kampala. M7 anakula sana pesa na kakikundi kadogo ka watu wake na hawajali kabisa. Ingawa na kwetu kuna rushwa But we are doing far better than them.
 
Kwa ujuma Uganda hawakupaswa kuwa waandaaji wa mashindano haya mwaka huu.....Matatizo kibao....Umeme....Tope uwanjani n.k..............AIBU
Naona tumeanza kutupa lawama, tumefungwa tumefungwa tu, tena tatu!!!
 
Duh....haya Hiyo kutafuta mshindi wa tatu Tanganyika tutaimba wimbo upi!???
 
Naona tumeanza kutupa lawama, tumefungwa tumefungwa tu, tena tatu!!!
Naona unakurupuka tu mkuu wangu....Ni wapi nimetoa lawama?......Kusema kwamba Uganda hawakustahili kuwa wenyeji ni kutoa lawama (za kushindwa)?...... Sina tabia hiyo(ya kutupa lawama)....

We hauoni kwamba Uganda wametuaibisha nchi wanachama wa CECAFA kwa kuchezesha mpira kwenye uwanja usio na sifa, uliojaa Tope (kama uliangalia mechi ya Rwanda na Zanzibar utaelewa nini namaanisha)....Pia siku ya kwanza mechi ilisimama kwa sababu ya umeme kukatika uwanjani na leo pia hivyohivyo.....Hauoni kuna tatizo hapa?.....Ni kwa nini mechi ziihamishiwa lugogo?....

Halafu, sababu za Tanzania bara kufungwa eo mbona nimeshazitaja hapo juu?.....Cheki post namba 1,707

Ngassa, Bocco na Kazimoto ni kama hawakuwa uwanjani leo......

Tujipange kwa mwakani.....Uganda wameupiga mpira wa ukwe
li leo......Tanzania tumedebweka leo....

Ba
ll possession ni Tanzania 35-65 Uganda......Uganda walistahii ushindi...

Tatizo kwa Tanzania
leo lilikuwa ni kiungo......Sure Boy alipwaya hivyo kumuacha Frank Domayo akihaha pekee dimbani....Pia Amri Kiemba hakuwa kwenye form leo......Kocha angemuingiza Chuji tangu kipindi cha kwanza....


Yote kwa yote niipongeze tu timu yetu hii i
liyoundwa na chipukizi kwa kandanda safi waliyoionesha.....Timu hii ni nzuri, ikitunzwa itatuletea mafanikio sana siku za usoni...

Asanteni sana wana JF kwa ushirikiano wenu ambao umepe
lekea kufanikiwa kwa Updates hizi za CECAFA Tusker Challenge Cup 2012.......

Tukutane tena siku ya mechi ya kumtafuta mshindi wa tatu kati ya Bara na Visiwani..........What a match to watch
 
Mechi ya Kenya na Uganda itakuwa ngumu sana tofauti na watu wanavyodhani, Hawa ni watani wa jadi hivyo tutegemee mechi kali,nzuri na yenye ushindani wa kila aina...Tusihangae pia kuona Undava undava kwa kwenda mbele
 
Ila buti za mabeki wetu zilikuwa za hatari sema refa kasaidia, tulitakiwa tupigwe redi.

Jamani lile goli la tatu mkiangalia clip ile siyo kwamba mfungaji aliunawa mpira kabla ya kufunga?

Hongereni chipikizi kwa kuonyesha nia ya dhati kuzichezea timu za taifa. Sasa taratibu matunda ya timu za watoto na vijana za kukuza vipaji yaanza kuonekana.

Hongereni timu zetu kwa kuhakikisha tunarudi na nafasi ya tatu nyumbani.
 
umenikumbusha enzi za andy cole na dwight york
[TABLE="class: infobox vcard, width: 22"]
Dwight Yorke[TR]
[TD="colspan: 4, align: center"] [/TD]
[/TR]
[TR]
[TH="bgcolor: #b0c4de, colspan: 4, align: center"]Personal information[/TH]
[/TR]
[TR]
[TH="align: left"]Full name[/TH]
[TD="class: nickname, colspan: 3"]Dwight Eversley Yorke[/TD]
[/TR]
[TR]
[TH="align: left"]Date of birth[/TH]
[TD="colspan: 3"](1971-11-03) 3 November 1971 (age 41)[/TD]
[/TR]
[TR]
[TH="align: left"]Place of birth[/TH]
[TD="class: birthplace, colspan: 3"]Canaan, Trinidad and Tobago[/TD]
[/TR]
[TR]
[TH="align: left"]Height[/TH]
[TD="colspan: 3"]5 ft 9 in (1.75 m)[/TD]
[/TR]
[TR]
[TH="align: left"]Playing position[/TH]
[TD="class: role, colspan: 3"]Forward
Midfielder[/TD]
[/TR]
[TR]
[TH="bgcolor: #b0c4de, colspan: 4, align: center"]Youth career[/TH]
[/TR]
[TR]
[TH="align: left"]1988–1989[/TH]
[TD="colspan: 3"]Signal Hill Comprehensive School[/TD]
[/TR]
[TR]
[TH="bgcolor: #b0c4de, colspan: 4, align: center"]Senior career*[/TH]
[/TR]
[TR]
[TH="align: left"]Years[/TH]
[TD]Team[/TD]
[TD="align: right"]Apps[SUP]†[/SUP][/TD]
[TD="align: right"](Gls)[SUP]†[/SUP][/TD]
[/TR]
[TR]
[TH="align: left"]1989–1998[/TH]
[TD]Aston Villa[/TD]
[TD="align: right"]232[/TD]
[TD="align: right"](73)[/TD]
[/TR]
[TR]
[TH="align: left"]1998–2002[/TH]
[TD]Manchester United[/TD]
[TD="align: right"]95[/TD]
[TD="align: right"](47)[/TD]
[/TR]
[TR]
[TH="align: left"]2002–2004[/TH]
[TD]Blackburn Rovers[/TD]
[TD="align: right"]60[/TD]
[TD="align: right"](12)[/TD]
[/TR]
[TR]
[TH="align: left"]2004–2005[/TH]
[TD]Birmingham City[/TD]
[TD="align: right"]13[/TD]
[TD="align: right"](2)[/TD]
[/TR]
[TR]
[TH="align: left"]2005–2006[/TH]
[TD]Sydney FC[/TD]
[TD="align: right"]21[/TD]
[TD="align: right"](7)[/TD]
[/TR]
[TR]
[TH="align: left"]2006–2009[/TH]
[TD]Sunderland[/TD]
[TD="align: right"]58[/TD]
[TD="align: right"](6)[/TD]
[/TR]
[TR]
[TH="align: left"]2009–2010[/TH]
[TD]Tobago United[/TD]
[TD="align: right"][/TD]
[TD="align: right"][/TD]
[/TR]
[TR]
[TH="align: left"]Total[/TH]
[TD][/TD]
[TD="align: right"]479[/TD]
[TD="align: right"](147)[/TD]
[/TR]
[TR]
[TH="bgcolor: #b0c4de, colspan: 4, align: center"]National team[SUP]‡[/SUP][/TH]
[/TR]
[TR]
[TH="align: left"]1989–2009[/TH]
[TD]Trinidad and Tobago[/TD]
[TD="align: right"]74[/TD]
[TD="align: right"](19)[/TD]
[/TR]
[TR]
[TH="bgcolor: #b0c4de, colspan: 4, align: center"]Teams managed[/TH]
[/TR]
[TR]
[TH="align: left"]2009–2010[/TH]
[TD="colspan: 3"]Trinidad and Tobago(assistant)[/TD]
[/TR]
[TR]
[TH="align: left"]2010–2011[/TH]
[TD="colspan: 3"]Tobago United(First Team Coach)[/TD]
[/TR]
[TR]
[TH="align: left"]2011–[/TH]
[TD="colspan: 3"]Manchester United Reserves(assistant)[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="colspan: 4, align: center"][/TD]
[/TR]
[/TABLE]
 
Back
Top Bottom