Mpira umetulia sana na kila timu inacheza taratibu, na kupanga mashambulizi kupitia katikati
Dk 36 Zanzibar wanapata freekick inatokea piga nikupige wanakosaa
Dk 37 Mpira unarushwa, Cannavaro anapaisha
Naona zenj wamemshtukia yule kipa wao mwadini aliekula chapaa za wakenya wamemjua msaliti wao,,hafai kabisa yule kucheza tena timu ya taifa ya zenj wa ya muungano yeye ndio amewasaliti wenzake,kama huamini tafuta cd ya mechi ya zenj na kenya semi fainal ya cecafa 2012,kauza mechi yule.
Dk 47 Aggrey Morris anafanya faulo, na anapewa Kadi ya Njano....freekick kwa Stars
Stars wanapata freekick, Chuji anapiga na mpira unatoka nje...
Mpira ni mapumziko
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.