CECAFA Senior Challenge: Kutoka Uganda

nnaona kumbe ile ya huyo mkuu wa uganda kula kileja cha mchezaji imesaidia ni dawa ya ushindi, basi ngassa na yy angeliwa au kaseja huenda Tanganyika leo wangekua mabingwa
 
Uganda wanastahili kuwa washindi. Tangia michuano inaanza mpaka leo. Pia sifa kwa Kenya, timu pekee iliyoweza kutingisha nyavu za Uganda. Big up Uganda!
 
Sikupata fursa ya kuangalia mechi ya kilimanjaro stars na zanzibar heroes. Hivi nyimbo za taifa zilipigwa kila mmoja na wake? Na bendera ya zanzibar ilipepea uwanjani?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom