Naona zenj wamemshtukia yule kipa wao mwadini aliekula chapaa za wakenya wamemjua msaliti wao,,hafai kabisa yule kucheza tena timu ya taifa ya zenj wa ya muungano yeye ndio amewasaliti wenzake,kama huamini tafuta cd ya mechi ya zenj na kenya semi fainal ya cecafa 2012,kauza mechi yule.
![]()
Tarehe 9 Desemba 2012
Mshindi wa Tatu; Zanzibar vs Tanganyika
Fainali; Kenya vs Uganda]
hawa wazenji wanasawazisha soon too maana watanganyika ni pumba balaaa....
Mkuu tarehe siyo sahihi, inawachanganya Wakuu.