CECAFA Senior Challenge: Kutoka Uganda

CECAFA Senior Challenge: Kutoka Uganda

Balatanda kazima taa tehteh Tanzania noma wamepeleka mpaka mtu wa Tanesco Uganda.
 
Tanzania isipokewe apokewe Amir Kiemba tu timu ikirudi waliobaki wote Bakora za michongoma na miba yake.
 
Dakika ya 90

Tanzania 0-3 Uganda

Tunachezeshwa 'HANGAISHA *****' jamani
 
Tujipange upya aisee....ila yule mzee Mwinyi ndio kasababisha yote haya na kauli yake ya kichwa cha mwendawazimu..
 
Hii timu sawa na Chama cha Siasa kinaanza kuonyesha mazuri mpaka karibu na uchaguzi hii timu sasa hivi washaungwa ndio wanaonana Wajinga kabisa bora aliyetaka kuzima taa nampa 10/10.
 
Back
Top Bottom