kbm
JF-Expert Member
- Oct 5, 2012
- 5,224
- 1,685
tusubiri tu mechi ya keshokutwa tucheze huku tukijadili katiba mpya
.., na masuala ya muungano. Aah! Taa zimezima!
tusubiri tu mechi ya keshokutwa tucheze huku tukijadili katiba mpya
Mie nafikiria hawana mbinu, ukicheza na timu ngumu, lazima upange mikakati. Sasa unacheza na timu ngumu halafu eti " gemu inakukataa" utatarajia nini? Wachezaji na kocha hawana mbinu kwa ninavyowaona mie. Naamini uwezo wanao, lkn bila mbinu uwezi enda popote.Ngassa, Bocco na Kazimoto game limewakataa leo....
Yondani awe muangalifu....Anamchezea rafu mbaya Ssentongo......Free kick
Cha tatu hicho
Tanzania 0-3 Uganda
good waahirishe mechi!Taa zinazima uwanjani. Hatari.
bila kuuma maneno golikipa wa zenj amekula chapaa za wakenya,amefungisha magoli 2 ktk dkk 90 zakawaida,,na katika penelt ameonyesha dhahiri kuwa amehongwa aiue zenj,,wakati wakenya wanapiga penalt kipa wa zenj alikua anawaonesha wakenya wapige kulia yeye anajiangusha kushoto,na tumerikodi ili kuweka kumbukumbui za usaliti wa kipa huyu kwa timu ya taifa ya zanzibar msitafte mchawi mchawi wenu ni kipa wenu amewasaliti,Kenya wanaenda Fainali kwa kushinda penati 4 dhidi ya 2 za Zanzibar
Uzembe wa mabeki na goikipa Mwadini Ay Mwadini umewagharimu Wazanzibari.......
Dakika ya 85
Tanzania 0-3 Uganda
Ngassa anakabwa na watu wanne
Umeme umekatika uwanjani
Kwa timu kama M.U hizo goli zinarudi dakika ya 88, 89,90 na nyongezaDakika ya 82
Tanzania 0-3 Uganda
Mgao wa umeme gemu yaweza rudiwa hii
umeme umekatika uwanjani loh!
ha ha ha ha ha!!!Kumbuka UGANDA hawana historia za kukata umeme itakuwa tu mchizi mmoja wa Kitanzania kaamuwa kwenda tu kuzizima taa.
Dakika zitaongezwa? hapa utasikia "tulihujumiwa".Taa zina zima uwanjani...naona Tanesco wameenda hadi Uganda ili walau tufanye juju kidogo magoli yarudi...
kukaa kote kimya kumbe alikuwa anakula timing ya taa!!well done mphamvuMphamvu ndio kazima taa jamani...nimepewa taarifa hiyo sasa hivi...
Huna timu ya taifa.
Una club tu Yanga daima mbele nyuma mwiko