CECAFA Senior Challenge: Kutoka Uganda

CECAFA Senior Challenge: Kutoka Uganda

Kaseja anaicost timu tena leo tunafanywa kitu mbaya

3 - 0

Hakuna kosa alichofanya Juma K Juma Mabeki nao wanacheza Foul za mchangani wanaona kurusha miguu ya kifua ndio mpira na Rebound hakuna hata mchezaji mmoja wa Kilimanjaro aliyewavamia Cranes japo najaribu kumtetea Juma Kasseja naye ni muda kuweka Gloves chini awapishe wengine.
 
Dakika ya 75

Tanzania 0-3 Uganda

Domayo anashoot.....Kipa anadaka
 
Mkuu nimechoka vibaya mno!!!!!!!!
rafu ya kizembe sana imechezwa na Tanzania, Kaseja kadaka na kuutema mpira, waganda wanashambulia hapa kama watatu hivo,,,,ni goli!!Ssentongo tena!!-UG 3 vs TZ O
 
rafu ya kizembe sana imechezwa na Tanzania, Kaseja kadaka na kuutema mpira, waganda wanashambulia hapa kama watatu hivo,,,,ni goli!!Ssentongo tena!!-UG 3 vs TZ O

Sio Tanzania, ni Tanganyika. VIVA ZANZIBAR.
 
Hahaha mechi haijaisha lakini naona SS9 wanaweka katangazo eti fainali ni Kenya na Uganda.
 
Supesport wameonyesha tangazo lao la mechi ya fainali Jumamosi kati ya UGANDA na KENYA!
 
Back
Top Bottom