we bado upo mi natafuta kona ya nyumbani!!nilikuwa nauangalizia barMi nimesimama tu Zamaulid amekaa kwenye siti yangu
umeme umerudi ndugu. mafala wanatumia vibaya kodi zetu utafikiri walilala clubNasikia mgao wa umeme Uganda ni sugu bora ya TZ
ha ha ha ha!!hata mezani siyo mtaalamu sana!!!wapi mbuyu!
we bado upo mi natafuta kona ya nyumbani!!nilikuwa nauangalizia bar
Bora hatujapigwa saba kama wasomali.!
Bora hatujapigwa saba kama wasomali.!
leo hata tathmini msifanye!uishe tu...
homa ya nini tuwe wakweli toka dk ya 1 ulitarajia nini timu ambayo haina hata mission inayoonekana. Shangilia ushindi wa Uganda bongo mdebwedo hata zenji watawaoa..., kuna jamaa mshabiki wa Uganda ana maneno yameandikwa hivi "R.I.P TZ" ni aibu jamani! najisikia homa kali!
Mbuyu kitu gani waulize TP Mazembe wanayo habari nzima