CECAFA Senior Challenge: Kutoka Uganda

CECAFA Senior Challenge: Kutoka Uganda

Mphamvu

JF-Expert Member
Joined
Jan 28, 2011
Posts
10,702
Reaction score
3,348
images.jpg
Uganda wakisherekea ubingwa wao wa CECAFA Senior Challenge​
 
Sasa hivi ni mchezo kati ya Ethiopia na Sudan Kusini.
 
tunawategemea kwa updates mliopo huko tafadhali.
 
Dakika ya 60,
Ethiopia 1 - 0 Sudan Kusini
 
Vipi Mphamvu Tanzania bara tunacheza lini na nani??
 
Last edited by a moderator:
Nifahamisheni kama tbc wanarusha mtanange huu moja kwa moja.
 
Mchezo umekwisha, Ethiopia wakiibuka washindi kwa goli 1 - 0
 
Game ya Kenya na Uganda ndio inaanza sasa...
 
Uwanja wa Nambole hauna mashabiki kabisa ndio maana sasa naelewa kwa nini CECAFA walifululiza kuibakisha Tanzania michuano hii...
 
Kenya Starting X1;
Duncan Ochieng,
Abdallah Juma,
Anthony Kimani (C),
Joackins Atudo,
David Owino,
David Ochieng,
Bernard Mangoli,
Humfrey Mieno
Tony Kimani
Clifton Miheso
Rama Salim.
 
Uwanja wa Nambole hauna mashabiki kabisa ndio maana sasa naelewa kwa nini CECAFA walifululiza kuibakisha Tanzania michuano hii...

Watu wanaosimamia mchezo wa soka hapa Afrika wameshindwa kazi yao, ndio maana unayaona yanatokea.
 
Kenya Starting X1;
Duncan Ochieng,
Abdallah Juma,
Anthony Kimani (C),
Joackins Atudo,
David Owino,
David Ochieng,
Bernard Mangoli,
Humfrey Mieno
Tony Kimani
Clifton Miheso
Rama Salim.
Subs.
Martin Musalia,
Patilla Omotto,
Thomas Wanyama,
Paul Were,
Kevin Omondi,
Victor Ochieng,
Edwin Levatsa,
Enock Agwanda
 
Uganda Starting X1:
Abel Dhaira(C),
Godfrey Walusimbi,
Henry Kalungi,
Isaac Isinde,
Denis Guma,
Hassan Wasswa,
Geoffrey Kizito,
Moses Oloya,
Emmanuel Okwi,
Hamis Kiiza,
Brian Umony.
 
Uganda Starting X1:
Abel Dhaira(C),
Godfrey Walusimbi,
Henry Kalungi,
Isaac Isinde,
Denis Guma,
Hassan Wasswa,
Geoffrey Kizito,
Moses Oloya,
Emmanuel Okwi,
Hamis Kiiza,
Brian Umony.

Subs:
Ali Kimera,
Hamza Muwonge,
Nicholas Wadada,
Joseph Ochaya,
Saidi Kyeyune,
Joseph Mpande,
Manco Kaweesa,
Brian Mwejjwega,
Robert Sentongo
 
Back
Top Bottom