FT: Singida Black Stars 1-2 Simba | CECAFA Kagame Cup | Julai 31, 2026 | 2:00 Usiku

FT: Singida Black Stars 1-2 Simba | CECAFA Kagame Cup | Julai 31, 2026 | 2:00 Usiku

Mkalukungone Mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
3,096
Reaction score
7,126
Simba wanakamilisha ratiba ya mashindano haya, hata wakishinda awaendi popote,

Simba SC watamaliza ratiba yao ya CECAFA Kagame Cup kwa mchezo dhidi ya Singida Black Stars leo, Julai 31, 2026. Licha ya umuhimu wa mchezo huo, matokeo yoyote, ikiwemo ushindi, hayatabadilisha nafasi ya Simba kwenye mashindano hayo, kwani tayari hawana nafasi ya kusonga mbele.
 
Simba inakosa kiungo fund mchezeshaji mwenye nguvu kwa ajili ya shambulizi la haraka....
Napata shaka na uwezo na energy ya kibabage hasa kwa team zenye nguvu ....DUCHU Anachechelewa sana kufanya maamuzi
 
IMG_7805.png
Kolo karudi Korokoni🤣
 
Back
Top Bottom