Balantanda
JF-Expert Member
- Jul 13, 2008
- 12,484
- 4,821
Mkuu.......Siku zote kwenye football kipa akitema mpira na mshambuliaji wa timu pinzani akifunga huwa ni kosa la KIPA.....Kaseja amefanya kosa alilofanya Jean Claude Ndoli wa Rwanda juzi walivyocheza na Stars.......Hakuna kosa alichofanya Juma K Juma Mabeki nao wanacheza Foul za mchangani wanaona kurusha miguu ya kifua ndio mpira na Rebound hakuna hata mchezaji mmoja wa Kilimanjaro aliyewavamia Cranes japo najaribu kumtetea Juma Kasseja naye ni muda kuweka Gloves chini awapishe wengine.
Yondani kacheza foul nje kabisa ya 18 na aicheza wakati yeye na Chuji wakijaribu kumzuia Ssentongo asiete madhara na wangemuacha ingekuwa ni madhara......
Tukubali tu kwamba timu nzima imeteleza leo