WABHEJASANA
JF-Expert Member
- Jun 22, 2011
- 4,225
- 869
Mgao wa umeme gemu yaweza rudiwa hii
Yani kama mungu ananisikia ni bora taa ziiwake ili gemu hii irudiwe tukajipange upya aiseee!!!!!!!!
Mgao wa umeme gemu yaweza rudiwa hii
'da tanesco ya Uganda, ha ha ha!'
Dakika zitaongezwa? hapa utasikia "tulihujumiwa".
kukaa kote kimya kumbe alikuwa anakula timing ya taa!!well done mphamvu
tusubiri tu mechi ya keshokutwa tucheze huku tukijadili katiba mpya
Kumbuka UGANDA hawana historia za kukata umeme itakuwa tu mchizi mmoja wa Kitanzania kaamuwa kwenda tu kuzizima taa.
Mpira umesimama..............Umeme umekata
Yani kama mungu ananisikia ni bora taa ziiwake ili gemu hii irudiwe tukajipange upya aiseee!!!!!!!!
Mkuu Mphamvu hawezi fanya tukio la namna hiyo hata siku moja...tena huyu jamaa ni mdau mkubwa katika tasnia ya michezo.
Katika game ya leo Simba tunahesabu goli la OKWI, Nyie Yanga vipi
Dakika 5Zilibaki dakika ngapi??