Makoye Matale
JF-Expert Member
- May 2, 2011
- 6,490
- 2,104
Zanziba imetolewa rasmi.
Bora lingewekwa shati la Kaseja
du!!kocha kisha poteza kibarua kwa kauli yake mwenyewe!!!Kenya wanaingia fainali na mpira umekwisha
mkuu waganda ni wepesi kiasi hicho kweli!!isije ikawa tukacheza na zanzb!!!Zenji ouuuuuuut, ila Kenya wetu tutawalisha mapacha hawa
na watuombee kweli maana sisi tumejitahidi sana!!!Zenji kwaheri, tukutane mwakani, mtuombee kaka zenu tupige mtu.!
Zenji ouuuuuuut, ila Kenya wetu tutawalisha mapacha hawa
mkuu isijekuwa tukakutana kesho kutwa tu!!!Zenji kwaheri, tukutane mwakani, mtuombee kaka zenu tupige mtu.!
du!!kocha kisha poteza kibarua kwa kauli yake mwenyewe!!!
Kenya wanaenda Fainali kwa kushinda penati 4 dhidi ya 2 za Zanzibar
Uzembe wa mabeki na goikipa Mwadini Ay Mwadini umewagharimu Wazanzibari.......
mkuu isiwe hivyo unavyodhania.mkuu isijekuwa tukakutana kesho kutwa tu!!!
du!!kocha kisha poteza kibarua kwa kauli yake mwenyewe!!!
nakemea kwa nguvu zote!!mkuu isiwe hivyo unavyodhania.