CECAFA Senior Challenge: Kutoka Uganda

CECAFA Senior Challenge: Kutoka Uganda

Ngassa, Bocco na Kazimoto game limewakataa leo....

Yondani awe muanga
lifu....Anamchezea rafu mbaya Ssentongo......Free kick


Cha tatu hicho

Tanzania 0-3 Uganda
 
Duh!!! Tanganyika walifikiri wanacheza na Somalia. La tatu linaingia.
 
Kaseja anaicost timu tena leo tunafanywa kitu mbaya

3 - 0
 
tumeyataka Mtu anaingia tu kama mpira wa michangani mpira mbovu kabisa ndio matatizo ya kucheza na timu kama Somalia na kushinda mabao kibao mwisho ufundi wa kucheza mpira unapotea.
 
huyu yondani ni ****
Tatizo sio Yondani mkuu....Tatizo hapo ni Kaseja...Kwa nini ameutema huo mpira?....Kautema mpira wa free kick, Ssentongo ameuwahi akafunga.......

Yondani na Chuji wasingembana Ssentongo pale lingekuwa goli
 
Haya Stars, andaeni tu tathmini, sababu na vizingizio
 
Back
Top Bottom