CECAFA Kagame Cup 2012 - Live updates

CECAFA Kagame Cup 2012 - Live updates

Half-time analysis by Tisha-TOTO:

Kwa kifupi, nimemu-assess coach Tom Saintfiet wa Yanga ninadhani ni mzuri when it comes to match tactics. Anajua wachezaji wake hawana pumzi, so kwenye mechi ya leo na APR he must have asked them to start slow kwenye first 45 mins and come back with a bang kwenye second half.

Wote mnaotazama mechi hii mmeshuhudia ile aggressiveness ya Niyonzima pale katikati siyo ile ya kawaida. Akipokea mpira kutoka nyuma, badala ya ku-change pace kuwa fast kama kawaida yake leo hii amekuwa aki-slow down zile foward moves za Yanga. Hata zile kimbiakimbia za Kiiza si za kawaida.

Prediction: Yanga will emerge victorious with a slender 1-0 margin.
 
ni vizuri kutoa assessment zako ili mjipe moyo wanayanga..
 
Balantanda, huyu jamaa wa apr mwenye rasta anaitwa nani maana anawasumbua sana mabeki wa yanga.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom