ndetichia
JF-Expert Member
- Mar 18, 2011
- 27,769
- 6,585
Tz every thing ni "DHAIFU"
kama kimoja wapo plz
Tz every thing ni "DHAIFU"
Bala.Hivi hakuna hata redio moja on line inayotangaza haya mashindano ?
Yanga siipendi basi tu.
yanaonyeshwa na chaneli gani? Au upo uwanjani?Japan 1 Spain 0 olympic game'dk 38
Kama mimi ninavyoichukia Simbahata mimi naichukia.....
ni vizuri kutoa assessment zako ili mjipe moyo wanayanga..
hata mimi naichukia.....
Azam ni mwaka wenu huu mkuu. Tunawatakia kila la kheri
yanaonyeshwa na chaneli gani? Au upo uwanjani?
Azam ni mwaka wenu huu mkuu. Tunawatakia kila la kheri