What a save by Ally Mustapha......Kona
Sijaelewa ni kwa nni leo Mwasika hajaanza!
hongera wanalamba2
Ilikuwa inaelekea wavuni kaka.....ilikuwa mshanyewa nini kaka bala
hawa APR ni kama wamejiandaa vya kutosha leo.!
lazaima mjute kuwafahamu..
Heri yetu tumefika semi final......Leo watani kazi mnayo, mechi ikiisha wachezaji wote wale panadol mbili mbili.
Heri yetu tumefika semi final......
Naona leo mmehamia APR......
ama kweli adui wa adui yako rafiki yako.!Hawa APR vipi mpka sasa hivi bado tu...