Balantanda
JF-Expert Member
- Jul 13, 2008
- 12,484
- 4,821
- Thread starter
- #1,561
Yanga na Azam mbalimbali.......Kama nyie mlivyohamia Azam juzi
Yanga na Azam mbalimbali.......Kama nyie mlivyohamia Azam juzi
Kiiza na Taita wamepata kadi za kujitakia.....Wanacheza Rafu za kijinga....huyu refa ni kama anamzuka wa kadi,kuna hatari nyekundu kutoka leo.
Heri yetu tumefika semi final......
Naona leo mmehamia APR......
au Akudo Impact.
Sijaona.Umeona eeeeeee!!
1. Deogratius Munishi GK (27)
2. Ibrahim Shikanda (21)
3. Erasto Nyoni (6)
4. Aggrey Morris (13) Captain
5. Said Moradi (15)
6. Jabir Aziz (25)
7. Kipre Tchetche (10)
8. Ibrahim Mwaipopo (4)
9. John Bocco(19)
10. Salum Abubakar (8)
11. Ramadhan Chombo (17)
Hivi siku hizi Ngassa kishakuwa garasa au? Maana mechi nyingi hapangwi.
Kwasababu ya matusi yenu, yaani mpaka najiuliza hivi zile goli 3 tulizofungwa na Azm kama tungefungwa na Yanga ingekuwaje.....binafsi nitafurahi sana yanga akifungwa ingawa bado naomba kombe libaki Tanzania..Heri yetu tumefika semi final......
Naona leo mmehamia APR......
Hivi siku hizi Ngassa kishakuwa garasa au? Maana mechi nyingi hapangwi.
Mkuu mtake radhi Ngasa ndo kafunga la pili na la ushindi.
Si wanamshusha kiwango makusudi bcoz amekataa kuongeza mkataba mpya ili next season arudi yanga bure!
On behalf of Ngasa, apology accepted.Ok, samahani mkuu nafikiri nimekurupuka bila kupitia posts hapa vizuri.