CECAFA Kagame Cup 2012 - Live updates

CECAFA Kagame Cup 2012 - Live updates

Wenye timu yenu hongereni, lakini red card imetucost sisi Vita Club.
 
Azam wanakosa goli la 3

Full Time

AS vita Club 1-2 Azam

Hongereni sana wana lamba lamba Azam FC.....Hongera kwa ndetichia & co kwa kufika fainali.....

Kazi kwa Yanga sasa...

one luv man ingawa bosi amenipa kazi nimeshindwa kabisa kukaa kwenye pc asanteni sana..

Forza azam FC
 
Duh......What a miss by APR

Bonge la shuti,linagonga mwamba....
 
Back
Top Bottom