Katavi
Platinum Member
- Aug 31, 2009
- 42,099
- 12,919
Dah! Dk 1 goli 2
Morocco 2 hondurus 2 dk 67 olympic game
Morocco 2 hondurus 2 dk 67 olympic game
Yani yuko jf live alafu anasema yuko mbali lol!mbona unamshushua..
kaamua kuchafua jukwaa tu
Yanga na APR nao wameingia uwanjani wanapasha. Kocha anashangiliwa kwelikweli.
Sio Simba tena?,mabingwa wa kombe la UrafikiAfadhali hili kombe lichukuliwe na Azam kuliko yanga....maana hatutakunywa maji..........