PrN I salute U,leo ulikuwa unaongea vitu vya msingi sana hiki ni kimojawapo,nilipomuona Gumbo nilikata tamaa kabisa ya upande wa kulia na ndo kilichotokea,hadi anatoka mimi sikuona amefanya nn?...
hongera watani tunawasubiri fainali kama mtavuka nusu
Leo kama watafika penati zitarudiwa rudiwa kama mwaka jana, haya mashindano ya kutegemea gate collection.
Yanga 5 Mafunzo 4
Bado kuna ya 6-0...na kwenye michuano hii, kumkumbu iliyoko ni kukimbiza timu...Mkuu nimedhihirisha uoga wako wa kutotaka kukutana na sisi kwenye Kagame hii,mnataka mkiwa mnaendelea kuchangia hapa JF muendelee kutumi ile avator ya score board ya 5 - 0,unajua tukikutana ile itakuwa outdated....usijali lkn hata ukivuka kesho kwa maswaiba zenu utakuwa bado una kimbembe cha kukutana na Atletico au AS Vita na ule ndo utakuwa mwisho wenu rasmi,kwahiyo punguza dua mbaya kwetu kwa kiwango chenu cha sasa hv hakuna matarajio ya kukutana na sisi.
Mkuu nimedhihirisha uoga wako wa kutotaka kukutana na sisi kwenye Kagame hii,mnataka mkiwa mnaendelea kuchangia hapa JF muendelee kutumi ile avator ya score board ya 5 - 0,unajua tukikutana ile itakuwa outdated....usijali lkn hata ukivuka kesho kwa maswaiba zenu utakuwa bado una kimbembe cha kukutana na Atletico au AS Vita na ule ndo utakuwa mwisho wenu rasmi,kwahiyo punguza dua mbaya kwetu kwa kiwango chenu cha sasa hv hakuna matarajio ya kukutana na sisi.
mkuu maneno yako makali, especially hii sentensi ya mwisho duh!, ila naamini kunzia mechi ya kesho zidi ya Azam hadithi itakuwa nyingine.
matokeo si ya kujivunia kwa wanayanga mafunzo kawatoa jasho
Hapa viongozi wa CECAFA meno yote 32 nje maana wanajua sasa kipato kingalipo
Basi tuwape hongera hispania ya tanzania na east africa.tuombe Mungu tukutane fainali na ndipo mtajua kuwa simba si mnyama wa kuchezea itakuwa 5x6/5Kilio cha fisi hichi!
Spain (mabingwa wa dunia na ulaya) wamechukua kombe tena la Ulaya. Unajua semi-final walishindaje, au basi ilimradi uandike tu??
Machampioni huwaga wanashindaga where/when it matters - hiyo ndiyo sifa moja kubwa ya mabingwa kama Yanga.
Kwenye lile kombe la kuku mlilocheza na wale chekechea Azam mlishinda kwa matuta mlijaza miposti humu JF kwa kufurahia ushindi wa kombe la kuku dhidi ya wale watoto (Azam) ambao hata harufu ya maziwa ya mama haijaisha mdomoni mwao!
Jee We unatamani vp?Hapo viongozi wa CECAFA wanatamani fainali iwe yanga na simba.
Mkuu, usinunue mbereko na mtoto hajazaliwa. Hata nusu wewe hujaingia unawaza fainali, timu yenyewe ndiyo hiyo.
Naweka kando utani wetu nawaombea sana muwatoe Azam, nitakuwa mwenye furaha sana hili likitimia hapo kesho. Kazeni buti muwaondoshe bila ushindi kama vile Tusker na Mafunzo walivyoondoka.
Eti Azam timu nzuri, kwa lipi? Simba funga hazo Azam hapo kesho wakaoke mikate yenye fungus na wakasage juice kueneza typhoid kwa watumiaji.
Hata wanaotangaza kiswahili wanaboa sana. "Anapigaa goooooooooooooo.., laaa nje" huu ni utangazaji wa kizamani wa radio na si tv. Star tv wako vizuri kwenye kurusha mpira Tz ila baadhi ya watangzaji wake na wachambuzi hamna kitu
Kilio cha fisi hichi!
Spain (mabingwa wa dunia na ulaya) wamechukua kombe tena la Ulaya. Unajua semi-final walishindaje, au basi ilimradi uandike tu??
Machampioni huwaga wanashindaga where/when it matters - hiyo ndiyo sifa moja kubwa ya mabingwa kama Yanga.
Kwenye lile kombe la kuku mlilocheza na wale chekechea Azam mlishinda kwa matuta mlijaza miposti humu JF kwa kufurahia ushindi wa kombe la kuku dhidi ya wale watoto (Azam) ambao hata harufu ya maziwa ya mama haijaisha mdomoni mwao!
Na hawataamini kuvuka huku kwa tabu ndo kumeishia hapohapo kwa mafunzo from now ni "clean win" ndani ya dk 90 mpaka tunachukua Kombe