bemg
JF-Expert Member
- Apr 25, 2010
- 2,799
- 644
Kocha wa Yanga haelewi wachezaji wake wanakosea wapi ndo maana hajui amtoe nani amwingize nani, kwani Yanga hamna Boban wenu?
wana Messi
Kocha wa Yanga haelewi wachezaji wake wanakosea wapi ndo maana hajui amtoe nani amwingize nani, kwani Yanga hamna Boban wenu?
mafunzo kumbe wakiamua wanaweza.kwenye kombe la urafiki hawakucheza kama walivyocheza kwenye cecafa
half time mafunzo 1 yanga 0
wana Messi
Heeee! Vijana wamewakomalia Yanga eeeee
Huyu dogo Bahanuz ana 'shine' anaweza kuwa tumaini jipya kwa Yanga na Timu ya Taifa,
ni 1 - 1 umetokea wapi wewe..
5 added time.
Kuna mchezaji wa mafunzo yupo chini kazirai.....
Mafunzo tumebaki 9 na golikipa wa kumi, Mungu saidia timu yetu.