CECAFA Kagame Cup 2012 - Live updates

CECAFA Kagame Cup 2012 - Live updates

wanayanga wenzangu msihofu tutasawazisha kwenye kipindi CHA michezo L.O.L!
 
Balantanda,
nakuona uko online tena kwenye hii thread lkn kimyaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa, subiri kesho uone faida ya kombe la urafiki.
 
crashwise alisema mapema kwa yanga ni timu ya magazetini nikambiwa ooh acha utoto mara leo yuko rashid gumbo fundi ...hahaahhahahahhhaa
 
.....

........Ukiendesha pira wa siasa matokeo yake ndiyo haya!!




Riz1 hoi!




Yanga yachapwa 2 0


Yondani hawezi kushain mahali penye sanaaa!!


Na mpira umekwisha!!!



Yanga nywiiiiiiiii!!

Atletiko walikuja kwa basi tena walisema hata posho hawakupewa kwao!!

....
 
Chukua tano mkuu...! Ulisema haya mwanzoni wakakuandama....ona sasa pwaaa kama CCM itakavyopigwa chini...!! Haya Yondan, hongera combination yako na Canavaro hakuna mfano afrika...lol

yanga timu ya magazetini fungwe goli mbili tu..
 
Watani msikate tamaa, kundi lenu linatoa timu tatu kwenda robo fainali kwa hiyo mkingangamala dhidi ya APR mtaqualify na kuna hatari yakukutana na mnyama kama mtashika nafasi ya tatu au URA.
 
duh, Kweli Yanga bado, BAlantanda, timu hatuna mkuu, kaazi hipo
 
Mtaalamu wangu ''Balatanda'' ni vyema ukahama timu mapema hii Yanga mlionayo kwasasa itakuzidishia presha, mnasema mmesajiri vizuri kuliko Simba lakini kila mara mtakua mnatoka uwanjani vichwa chini na huo usajiri wenu mzuri kisa Yondani na Nizar.
 
Timu haitii matumaini hata kdgo..fukuza kocha mbegiji lete mfilipino,yanga hoi.
 
Kocha hana maisha yanga. Na kesho kikinuka ndo basi tena.
 
hongera sana yanga nina uhakika mngemchezesha kelvin yondan mgeshinda tena nyingi tu...ushauri wa bure mnaonaje tukiwapa sunzu awasaidie michuano hii maana mna weza kuvuna aibu..
 
Namhurumia kocha sijui kama ana maisha marefu jangwani...
 
Kocha hana maisha yanga. Na kesho kikinuka ndo basi tena.

kwa uzoefu walionao wachezaji wa Yanga pamoja na mafunzo waliokuwa wakipata kutoka kwa makocha waliokwishapita kwa mechi hii ata-kama wasingekuwa na kocha walitakiwa washinde, sasa kama wanaitaji kufundishwa mara kwa mara eti ndo wapate ushindi uwanjani basi hawastahili kuitwa ma-profesheno.
 

Head Coach:
Tom Saintfiet
Assistant Coach: Fred Felix Minziro,
Goalkeeper Coach: Mfaume Athumani
Team Physician: Dr Sufian Juma
Massagist: Jacob Onyango
Kit Manager: Mahmoud Omary (Mpogolo)

Huyu kocha alikuja na mbwembwe kumbe hamna kitu. Hivi mpango wa Yanga wa kumleta Maximo uliishia wapi?
 
hongera sana yanga nina uhakika mngemchezesha kelvin yondan mgeshinda tena nyingi tu...ushauri wa bure mnaonaje tukiwapa sunzu awasaidie michuano hii maana mna weza kuvuna aibu..

si wanampapatikia OKWI; walete bilioni 2 kama wana ubavu
 
Kiukweli Atletico ni wazuri sana...Kipindi cha pili wamecheza vizuri zaidi na waliwazidi Yanga katika kila Idara.....Kocha wa Yanga inabidi ajiangalie fomesheni yake ya kumuondoa Haruna Niyonzima kwenye kiungo na kumpeleka mbele kama mshambuliaji.....Chuji na Gumbo hawakuelewana kipindi cha pili...

Yaw Berko amefanya kazi kubwa sana leo,bila yeye Yanga wangefungwa magoli mengi sana......

Kelvin Yondani amecheza vizuri sana,tatizo lilikuwa kwa beki ya kulia na wakati fulani kwa Nadir Haroub....

Safu ya ushambuliaji ni butu......Ni bora Buhanuzi angeanza......

Mechi hii imepita,tusubiri zijazo sasa na APR na W. Salaam.......

Kesho Simba wanacheza na Azam pia wanacheza....Binafsi nitazishangilia timu zote hizo mbili so ndetichia, Crashwise na mtani wangu wa ukweli Masuke tegemeeni support yangu....Tupo pamoja kesho wakuu....

Kila la heri...

Bala.
 
Last edited by a moderator:
Hasira ya 'vijizee vya yanga' sasa zitamshukia kocha..
 
Huyu kocha alikuja na mbwembwe kumbe hamna kitu. Hivi mpango wa Yanga wa kumleta Maximo uliishia wapi?
Kocha ana siku 5 tu tangu aanze kuifundisha Yanga jamani.....

Yanga bado wana nafasi ya kuendelea maana bado wana mechi 2.......Lolote laweza kutokea katika football
 
Back
Top Bottom