CECAFA Kagame Cup 2012 - Live updates

CECAFA Kagame Cup 2012 - Live updates

yanga timu ya magazetini fungwe goli mbili tu..
Hivi mtani....Ule uwanja alioahidi Rage kwa mbwembwe na wataalamu toka Uturuki umeishia wapi?.....Vipi kuhusu Simba TV?.....

Mambo ya utani hayo wakuu...
 
Hawa vijana wa Sudan pamoja ugeni wao wanajitahidi sana...Wanashambulia na wanajaribu kushoot kwa mbali...

Kipa Jean Claude Ndoli wa APR ndio kikwazo kwao....
Mkuu Balatanda, naomba ufanye mabadiliko kidogo kwenye post ya kwanza ya ratiba, Simba na URA wanacheza kesho jpili na siyo jtatu.
 
wanajitahidi wamefungwa 6
Kufungwa 6 sio tatizo mtani....Mi naangalia mchezo wanaoucheza na jinsi wanavyoshambulia na kulisogelea lango la APR....

Kumbuka hii timu kutoka Sudani ya Kusini ni ngeni katika mashindano na Sudani kusini bado hawana ligi......Nina uhakika watacheza vizuri mechi zinazofuata...
 
Hawa Wau Salaam wamekurupuka kushiriki haya mashindano wangejipanga kwanza!
 
Mkuu Balatanda, naomba ufanye mabadiliko kidogo kwenye post ya kwanza ya ratiba, Simba na URA wanacheza kesho jpili na siyo jtatu.
Pouwa mkuu.......Nadhani kuna mabadiliko yamefanyika ila ratiba ya awali ilikuwa ni hiyo
 
Mechi ya kwanza kati ya APR na WAU SALAAM ipo Live Super Sport....

Ni dakika ya 57 sasa na APR wanawaadhibu vilivyo vijana wa South Sudan....

Mpaka sasa matokeo ni APR 6-0 WAU Salaam

Mechi ya pili itaoneshwa na TBC 1&2

kazi ipo kagame cup najua wazee walambalamba tutafika mbali sana...
 
Yanga Vs Atletico

KAGAME CUP 2012 national Stadium kick-off 16:00hrs
Here's Young Africans line-up to face Atletico today;
1.Yaw Berko - 19,
2.Juma Abdul - 14,
3.David Luhende - 29
4.Nadir Haroub Cannavaro (C) - 23
5.Kelvin Yondani - 5
6.Athuman Idd Chuji - 24
7.Shamte Ally - 7
8.Rashid Gumbo - 16
9.Jeryson Tegete - 10
10.Haruna Niyonzima - 8
11.Hamis Kiiza - 20

Subs;
1.Ally Mustapaha 'Barthez' - 1
2.Godfrey Taita - 17
3.Oscar Joshua - 4
4.Stephano Mwasika - 3
5.Ladislaus Mbogo - 29
6.Juma Seif Kijiko - 13
7.Idrisa Rashid - 12
8.Nizar Khalfan - 7
9.Said Bahanunzi - 11

Head Coach: Tom Saintfiet
Assistant Coach: Fred Felix Minziro,
Goalkeeper Coach: Mfaume Athumani
Team Physician: Dr Sufian Juma
Massagist: Jacob Onyango
Kit Manager: Mahmoud Omary (Mpogolo)
 
Achana na tbccm wewe,game litakua live startv.live bila chenga..
 
Yanga Vs Atletico

KAGAME CUP 2012 national Stadium kick-off 16:00hrs
Here's Young Africans line-up to face Atletico today;
1.Yaw Berko - 19,
2.Juma Abdul - 14,
3.David Luhende - 29
4.Nadir Haroub Cannavaro (C) - 23
5.Kelvin Yondani - 5
6.Athuman Idd Chuji - 24
7.Shamte Ally - 7
8.Rashid Gumbo - 16
9.Jeryson Tegete - 10
10.Haruna Niyonzima - 8
11.Hamis Kiiza - 20

Subs;
1.Ally Mustapaha 'Barthez' - 1
2.Godfrey Taita - 17
3.Oscar Joshua - 4
4.Stephano Mwasika - 3
5.Ladislaus Mbogo - 29
6.Juma Seif Kijiko - 13
7.Idrisa Rashid - 12
8.Nizar Khalfan - 7
9.Said Bahanunzi - 11

Head Coach: Tom Saintfiet
Assistant Coach: Fred Felix Minziro,
Goalkeeper Coach: Mfaume Athumani
Team Physician: Dr Sufian Juma
Massagist: Jacob Onyango
Kit Manager: Mahmoud Omary (Mpogolo)

haya tumekiona..
 
Dakika ya 90

APR 7-0 WAU Salaam

Dakika 3 za nyongeza
 
WAU Salaam wanakoswakoswa goli la 8 hapa......lol
 
Wau Salaam wamekuja kushiriki au kushindana.
 
Back
Top Bottom