Crashwise
JF-Expert Member
- Oct 23, 2007
- 22,227
- 8,760
krosi nzuri kwa yanga wamekosa wakujaza wavuni
wamsajili felex Sunzu..hahahaha
krosi nzuri kwa yanga wamekosa wakujaza wavuni
Yanga watajilaumu.
Balantanda, sikusikii Mayu, loho inadundia juu ya shati?
vipi mkuu wanapoteza nafasi?
duh wamekoswa goal la pili
​Atraco 1 Yanga 0 uwanja mzima CCM CCM CCM Duh!