Ulimakafu
JF-Expert Member
- Mar 18, 2011
- 31,701
- 13,671
Kama wanavyofanya Clouds,hivyo ni sawa tu.Utamsikia Maulid Kitenge, atasingizia kipigo kimetokana na kuwa bize na uchaguzi wa viongozi. Siku hizi kipindi cha 'spoti leo' cha Radio One kimegeuka kama kipindi cha Yanga, maana jamaa (Kitenge) alipiga kampeni za kumng'oa Nchunga na sasa anapiga kampeni za kumchagua John Jambele. Asilimia 80 ya habari za 'spoti leo' zinahusu Yanga !!