Kiukweli Atletico ni wazuri sana...Kipindi cha pili wamecheza vizuri zaidi na waliwazidi Yanga katika kila Idara.....Kocha wa Yanga inabidi ajiangalie fomesheni yake ya kumuondoa Haruna Niyonzima kwenye kiungo na kumpeleka mbele kama mshambuliaji.....Chuji na Gumbo hawakuelewana kipindi cha pili...
Yaw Berko amefanya kazi kubwa sana leo,bila yeye Yanga wangefungwa magoli mengi sana......
Kelvin Yondani amecheza vizuri sana,tatizo lilikuwa kwa beki ya kulia na wakati fulani kwa Nadir Haroub....
Safu ya ushambuliaji ni butu......Ni bora Buhanuzi angeanza......
Mechi hii imepita,tusubiri zijazo sasa na APR na W. Salaam.......
Kesho Simba wanacheza na Azam pia wanacheza....Binafsi nitazishangilia timu zote hizo mbili so
ndetichia,
Crashwise na mtani wangu wa ukweli
Masuke tegemeeni support yangu....Tupo pamoja kesho wakuu....
Kila la heri...
Bala.