MCHONGANISHI
JF-Expert Member
- May 28, 2011
- 372
- 364
aisee! Hii ndo Yanga siamini mfyuuuuuuuuuuu kocha bomu bora minziro
Simba wanatapatapa........
Wanamlazimisha mchezaji kuchezea timu yao ilhali hawataki........
Yupo anachezea Yanga leo na amevaa jezi namba 5,anasaidiana na Nadir Haroub pale nyuma....
Anakamua kisawasawa...
Dakika ya 60 sasa
APR 6-0 WAU Salaam
yani nadir haroub " kanavaro" hata Twiga stars hapati namba YAANI ni mnemba sijawah ona