CDM badilisheni jina linalowafaa ni hili...

CDM badilisheni jina linalowafaa ni hili...

Kama kawaida ya cdm viongozi + wanachama + wapenzi majibu rahisi kwa hoja nzito. Kuwa mweledi wa kiswahili ndipo ujibu najua ukiwezi kiswahili fasaha

Mara hii kupendekeza kubadili jina la chama imekuwa hoja nzito...lohhh JINIAS, unaweza kuwa jinias lakini sio intelligent. VIVA CHADEMA freedom is very near no need to slowdown.
 
Endeleeni na porojo badala ya kushauri mbinu za kutimiza ahadi za matrilioni ya shilingi aliyoahidi JK..
 
ccm bwana!cjui akili zao ziko tumboni au ni uko kichwani ambapo za wengine zipo!
 
Mara hii kupendekeza kubadili jina la chama imekuwa hoja nzito...lohhh JINIAS, unaweza kuwa jinias lakini sio intelligent. VIVA CHADEMA freedom is very near no need to slowdown.

Kubadili jina ni hoja nzito ili liendane na mnayo yatenda, mbona mlibadili bendera na kuweka rangi nyekundu ndani yake na matokeo yake tunayaona mmesababisha watu kufa Arusha, Tarime nk
 
Ningewashauri wabadilishe jina la chama . Ukisema DEMA kwa kiswahili fasaha ni kushindwa. kwa hiyo CHADEMA maana yake kwa kiswahili fasaha ni CHAkushindwa

Nadhani mwalimu wako ni yule anayetangazwa na haki elimu akifundisha computer ubaoni kama hujui kiswahili acha coments jua kuwa hicho ni kifupi siyo neno. Je slogany ya CCM ile ya ANGUKA ni neno lenye maana gani?
 
Na kweli kwa fikra mgando na uzumbukuku wanishinda hata sijakataa. Ila kwa weledi wa mambo hapo nakuacha mbali balaa !

WELEDI UPI JINIAS, unajua post zako zaweza kuku-rate wewe bila hata kujiinua
 
Ningewashauri wabadilishe jina la chama . Ukisema DEMA kwa kiswahili fasaha ni kushindwa. kwa hiyo CHADEMA maana yake kwa kiswahili fasaha ni CHAkushindwa

CCM chama cha mazuzu, viongozi mazuzu wafuasi wote mazombie

:dance:
 
Kweli CCM imefilisika, kama watu wanaolipwa mamilioni kuja kuitetea hapa jamvini akili zao ndiyo hizi basi tena, kila siku kujaza uharo tu hapa kwa hoja zao za kipuuzi.
 
Ningewashauri wabadilishe jina la chama . Ukisema DEMA kwa kiswahili fasaha ni kushindwa. kwa hiyo CHADEMA maana yake kwa kiswahili fasaha ni CHAkushindwa

Wadau naandika si kwa intention ya kutoa comments zangu kuhusiana na mada tajwa, iliyowekwa jamnvini na moja ya magamba. Kuna watu kama huyu anayejiita GeniousBrain (of course hii thread yake haifanani na jin). Mimi natoa to ushauri kuwa tujaribu ku-ignore comments au threads ambazo hazimachi na watch word ya JF "The Home of Great Thinkers". Kuendelea kuintertain maujinga hapa jamvini kunapoteza interest ya wanjanvi wengi. Unaangalia title ya thread, unapata feeling kwamba it must be something good, instead unapata something stupid. Natoa maoni haya bila kuhaffifisha freedom of expression ya wale wanaotoa hoja zao humu, ila mwana jamnvi mwenza jaribu kuignore comments za watu wanaoweka threads kwa ajili tu ya kuatract attention bila kuwa na hoja au mada zinazojenga.
 
Usipotoshe,maana ya DEMA si kushindwa, bali kuchechemea au kutembea kama mtoto anayeanza kutembea na maana nyingine ni mtego wa samaki i.e mgono.
 
Ningewashauri wabadilishe jina la chama . Ukisema DEMA kwa kiswahili fasaha ni kushindwa. kwa hiyo CHADEMA maana yake kwa kiswahili fasaha ni CHAkushindwa

Wewe ni zuzu aliye zuzuka......hata hujui kuwa CHADEMA ni accronym kama hiyo CCM yako....DEMA pia ni Disaster and Emergency Management Agency....rudisha pesa ya watu kwa kuwa hujafanya kazi ulotumwa
 
Nakubaliana na wewe mkuu, CCM watakuwa Chama cha mafisadi. Na wenyewe wamekiri wana mafisadi na wakashindwa kuwafukuza. kwa hiyo hili jina ni halali yao. Ila Chadema wamekataa kushindwa wanasubiri kuingia ikulu 2015 baada ya kuchakachuliwa 2010. mkuu tuko pamoja.
 
thread imekaa kitoto kama nyimbo zile alizokuwa anaimba Mr. Nice kuku kapanda baiskeli bata kavaa laizoni. kwa magamba wenzako utaonekana bonge la genius lakini kumbe ni bonge la **** mbele ya watu wenye eulewa wao.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom