CCM Zanzibar impe heshima yake John Gideon Okello

Inajulikana kuwa aliyeongoza mapinduzi ya Zanzibar mwaka 1964 ni mganda aliyejulikana kwa jina la John Gideon Okello, lakini CCM Zanzibar haitaki kumtambua wala kumpa heshima yake.

CCM tunawajua ni wabinafsi lakini hili la kutokumpa heshima yake aliyeongoza mapinduzi ya Zanzibar litawagharimu.

Kila siku mnayaita ni mapinduzi matukufu wakati aliyeyaongoza hamtaki kumpa heshima yake inayostahili.

Lazima Zanzibar kuwe na mtaa, jengo, uwanja wa michezo, chuo kikuu au alama yoyote kama kumbukumbu kwa ajili ya Okello.

Mtu aliyefanya yale mapinduzi huku kina Karume na wenzake wakiwa wamejificha anawezaje kudharauliwa kiasi hiki?
Chadema ya Lissu na Heche inampa heshima anayostahili Mzee Freeman Mbowe?
 
Inajulikana kuwa aliyeongoza mapinduzi ya Zanzibar mwaka 1964 ni mganda aliyejulikana kwa jina la John Gideon Okello, lakini CCM Zanzibar haitaki kumtambua wala kumpa heshima yake.

CCM tunawajua ni wabinafsi lakini hili la kutokumpa heshima yake aliyeongoza mapinduzi ya Zanzibar litawagharimu.

Kila siku mnayaita ni mapinduzi matukufu wakati aliyeyaongoza hamtaki kumpa heshima yake inayostahili.

Lazima Zanzibar kuwe na mtaa, jengo, uwanja wa michezo, chuo kikuu au alama yoyote kama kumbukumbu kwa ajili ya Okello.

Mtu aliyefanya yale mapinduzi huku kina Karume na wenzake wakiwa wamejificha anawezaje kudharauliwa kiasi hiki?
Hiyo Historia anaijua mama Karine tu maana ndiyo wazareendo wa umangani
 
Hili nalo wale wanaotafuta shahada za Uzamili ama Uzamivu ama wanaotaka kuwa wabobevu wa historia ya Zanzibar wanatakiwa wachimbue.

Vichogo ndiyo walioongoza mapinduzi ya Zanzibar lakini leo wanakashfiwa na waliowakomboa.
Nchi hii ili tuwe na maendeleo lazima tufanye overhaul ya chama tawala
 
Inajulikana kuwa aliyeongoza mapinduzi ya Zanzibar mwaka 1964 ni mganda aliyejulikana kwa jina la John Gideon Okello, lakini CCM Zanzibar haitaki kumtambua wala kumpa heshima yake.

CCM tunawajua ni wabinafsi lakini hili la kutokumpa heshima yake aliyeongoza mapinduzi ya Zanzibar litawagharimu.

Kila siku mnayaita ni mapinduzi matukufu wakati aliyeyaongoza hamtaki kumpa heshima yake inayostahili.

Lazima Zanzibar kuwe na mtaa, jengo, uwanja wa michezo, chuo kikuu au alama yoyote kama kumbukumbu kwa ajili ya Okello.

Mtu aliyefanya yale mapinduzi huku kina Karume na wenzake wakiwa wamejificha anawezaje kudharauliwa kiasi hiki?
Ni ngumu sana hii, nchi bado ipo katika Ujamaa wa Ki China na Urusi ambapo lazima kundi maalum lichague nani wa kutukuzwa na kupata heshima ya juu ndani ya nchi.
 
Back
Top Bottom