Masanilo
Platinum Member
- Oct 2, 2007
- 22,283
- 4,553
Nakuomba uendelee kuniaminia kwa sababu ni hakika bila mashaka mimi sio mshabiki wa chama chochote bali ni pro-democracy ambaye ningependa kuona upinzani unashinda ili kuongeza wigo wa demokrasia ndani ya bunge
Pasco
Mwanzoni nilikuwa sijakuelewa ndo maana nilitaka tofautiana na wewe ....nimekukubali umejitahidi kutufikishia yale yaliyojili bila ushabiki..sipendi bunge la upande mmoja, wabunge ambao wako bungeni bila kujua wanafanya nini nadhani ni wakati wakupisha wenye kuleta changamoto! Busanda wameonyesha kuwa kampeni za kuwaelimisha wapiga kura zitazaa matunda mazuri 2010.
Pamoja na yote nawapongeza wanaCCM Busanda Kuchangua Sanda
Masa