Rungu
JF-Expert Member
- Feb 23, 2007
- 3,932
- 1,726
Yaani hiyo slogan ya Movement for Change (M4C) imeanzishwa na CHADEMA? Mkapa hakukosea.Hivi CCM mmeishiwa kiasi hicho? hamuoni aibu kutumia slogan ya mwenzanko tena mshindani wako mkuu? Hii si ni kuconcede defeat? CCM hapa wanaonekana wameshakubali wamezidiwa!
Sioni hoja hapo , hiyo nembo , inatoa maana tofaut na chadema kwanini ulalamike acheni kukurupuka
Abbreviation ndio hutoa tofaut na sio nembo
Nenda mahakamani. Acha kupiga porojo zisizo na mashiko kwenye mitandao. Eti Interecualproperty, loh.BARO ELIMU YAKO ,NI KIASI GANI?
UNAFAHAMU KITU KINAITWA
1. Interectualproperty and material transfer right?
2. BRANDING AND COPY RIGHT?
KUNA WATU WANAZANI HIZI NEMBO NA MAANDISHI PAMOJA NA RANGI NA STYLE ZAKE NI SAWA NA MABANGO YANAYOBANDIKWA KWENYE BAJAJI NA BODABODA UKIVUTIWA UKAIGA TUUU UNAFUNGWA KIJANA
UMESIKIA BAROOO????
CCM imefilisika vibaya mpaka naogopa,sasa wameamua kutembelea nyota ya chadema,its a big gamble,it could backfire badly.
You cant allow yourself to dog think like that,as a party you can't show that level of incompitence!
Moreover,you can't allow that kind of cheap thinking to raise its voice in the party!
Kama hujui kitu ni heri ukakaa kimya ueleweshwe unadhani inawezekana mtu kuanzisha chama akakiita CCM na ikakubalika kisheria?Sioni hoja hapo , hiyo nembo , inatoa maana tofaut na chadema kwanini ulalamike acheni kukurupuka
Abbreviation ndio hutoa tofaut na sio nembo
badala waboreshe ile yao ya jembe na nyundo wanakwapua ya watu ! poor ccm !ile team ya vilaza 32 imemuingiza chaka magufuli.
Hivi inawezekana kweli CCM ikawa imeishiwa mbinu kiasi cha kukopi na ku-paste M4C?!
Kwa hili na mengine mengi ikiwemo ufisadi hamhitaji kurudishwa madarakani tena, mkubali tu akili mpya, ya kiubunifu, ya kutaka mabadiliko ifanyie mabadiliko ya kifikra, kiuchumi, kijamii, kisiasa katika nchi yetu.
WAKATI WA MABADILIKO NI SASA!
Kwa iyo magufuli for change maana yake ni M4C ya chadema?
aiseee...!!vijana wangu mbn mnakosa maarifa...
hiyo logo kwani ccm wameitumia officially...?
isitoshe hiyo ni abbreviation it can be used and Interpreted in different ways...!!
Kama waliiba ASLISEMA .... Tuna imani na Lowassa ,,,,,sasa cha ajabunini
Hivi mshauri mkuu wa Dr.Pombe ni nani? Maana kadri siku zinavyoennda anaelekea kufanana na comedy ya StaRTV!
Yaani hiyo slogan ya Movement for Change (M4C) imeanzishwa na CHADEMA? Mkapa hakukosea.
jamani mbona mnakuwa wagumu wa kuelewa. M4C ni logo ya CHADEMA. kama wanatamani kutumia neno la Magufuli 4 Change waandike logo tofauti na hiyo mfano: MA4C, MFC, MAFC, etc. umeelewa?
pili, neno hilo la ----4 CHANGE ni mali ya CHADEMA. kwa hiyo hairuhusiwi KUIGA, KUNAKILI, KUTAFSIRI wala kuanzisha brand nyingine ya namna hiyo pasipo idhini ya kimaandishi kutoka CHADEMA. ingekuwa Tanzania ni nchi ya kidemokrasia Magufuli angeenda jela kabla ya tarehe 25, Oktoba. umeelewa?
Hawa jamaa inaonekana hawafahamu maana ya psychological warfare. Maccm yamewashika pabaya sana kwa hili. Yaani sasa itabidi hizo kapelo zao zenye M4C wazitupilie mbali. Manaake kuanzia sasa, wakivaa hizo kapelo, wapiga kura tutaona kama wanampigia kampeni Magufuli, yaani Magufuli4Change. Imekula kwao.M can stand for anything. Let them go. Hata Lowassa walimlalamikia na kumtukana sasa wanamuabudu kushinda Mungu