CCM wamekosea kutumia M4C kumnadi Magufuli

tpaul

JF-Expert Member
Feb 3, 2008
16,307
2,000
Kuna kesi ambayo Serikali ya CCM iliwahi Kushinda? yaani kuanzia kwenye Halmashauri za Wilaya na Taifa.
1. Sakata la EPA imeshindwa na watuhumiwa kuachiwa
2. Madawa ya kulevya kesi zote kubwa imeshindwa na watuhumiwa kuachiwa
3. Samaki wa Magufuli taifa limeshindwa na tunalipa Billion zisizopungua 3.6
4. Ugaidi wa Lwakatare imeshindwa
5. Wakandarasi wa Barabara wameshinda na wanatakiwa kulipwa mabillion ya fedha kama riba kwa kutolipwa kwa muda stahili fedha zao.
6. Prof. mahalu na kesi ya jengo la ubalozi kule Italy Mahalu aliishinda Serikali
Na zingine nyingi tu, hivyo Serikali ya CCM haina ubavu wa kushinda kesi yeyote labda Mahakama zitoe hukumu za huruma.

mkuu, maCCM yanatia huruma sana. ikiwa hayawezi kubuni kila siku ni kukopi tu yataweza kushinda nini? hayakawii kukopi kesi yaliyoshindwa huko nyuma kama ushahidi wa kesi na kujichimbia kaburi kabisa. poor CCM!
 
tpaul

JF-Expert Member
Feb 3, 2008
16,307
2,000
Sawa nyumbu wa low hasa mfuasi wa demo paparasia na mawenge leo...ha ha haaa!

hivi kwa nn hamtaki huyo zezeta wenu aende kwa mdahalo mwenyewe, ni bubu???

Hahahaha! Mchakato Majimboni wa mwaka 2005, maCCM mlitia mpira kwapani. hata sasa hamkawii kutia mpira kwapani nyie mazuzu.
 
Al Zagawi

JF-Expert Member
Mar 17, 2009
2,151
2,000
Hahahaha! Mchakato Majimboni wa mwaka 2005, maCCM mlitia mpira kwapani. hata sasa hamkawii kutia mpira kwapani nyie mazuzu.

Times have changed mkuu...it's now or never.

maccm kama wanavyoitwa na nyumbu wa mbowe no low-hasa wako tayari kwa live debate ya wagombea urahisi lkn nyumbu wanaogopa...hapo ndiyo sielewi, sijawahi kuona wapinzani wanaogopa mgombea wao asishiriki live debate....???
 
tpaul

JF-Expert Member
Feb 3, 2008
16,307
2,000
Mkubwa Huyo siku zote hoja hana. Tunangojea atujibu kuhusu Viwanda alivyouza, majengo TTCL, Kagoda/Kiwira, TANESCO/Net Group Solutions. Anadhani ataweza kujihami kwa matusi/ukali.

mkuu, what exactly are you trying to say?
 
tpaul

JF-Expert Member
Feb 3, 2008
16,307
2,000
Mkuu, ninachofahamu mimi, haya yote yatafanya kazi kama Logo hiyo ya M4C ilisajiliwa! Kama Chadema walianzisha logo hiyo, wakaifanyia kazi kimazoea bila kuisajili sidhani kama itakua na nguvu yoyote katika sheria zinazohusu interlectua property

Je, Magufuli For Change ni Logo rasmi ya CCM kwa sasa au imezaliwa mtandaoni !? Kama imezuka huko Mitandaoni Chadema itamshitaki nani?

Binafsi naona tufanye kampeni. Muda ubebaki mchache, tuachane na kombolela

very constructive advice!
 
Elly B

JF-Expert Member
Jan 11, 2011
1,194
1,195

Public icons hazihitaji kusajiliwa ili ziwe limited. Ndiyo maana pamoja na kuwa jina "Kamati kuu ya CCM" halijasajiliwa popote, hakuna mwingine anayeweza tena kulitumia. Hata kama CCM hiyo siyo Chama cha Mapinduzi! Au huwezi leo ukasajili asasi ukaiita "Wizara ya kazi" hata kama hilo halijasajiliwa au tuseme "Vijana wa Idara". Why? ni public known name of an entity!

Public icons zinatambulishwa kwa design zake, rangi na majina. Ndiyo maana pamoja na kuwa CCM haijasajili rangi ya kijani na njano, kila mtu anajua ni za CCM! Na kuepuka kuwachanganya wananchi, leo ukaja na chama kipya chenye bendera za rangi ya kijani na njano, utaambiwa katafute rangi nyingine! Ni vema ikakumbukwa kuwa hata sheria ya usajili na matumizi ya icons na majina inazuia hata kutumia majina yanayofanana na ya wengine au yanayokaribia kufanana na wengine. Hata wangeamua kujiita MC4 bado ni karibu na M4C, bado hairuhusiwi.

Kwa kifupi wamechemka na haihitaji ufahamu wa kisheria kushinda. Kinachonishangaza ni hii tabia ya hawa jamaa ya kacha kuja na yao na kusubiria wapinzani waseme ili na wao waseme ''hivyo hivyo na sisi''!-KUFILISIKA KISERA. Ndiyo maana wananchi wa Libya walimuua Saddam huku Saddam akiwa rais wa Kuwait! Libya kiboko kweli kweli!

Last edited by a moderator:

Mzee Mwanakijiji

Platinum Member
Mar 10, 2006
33,046
2,000
Hii ni kweli bila ya shaka; hawakuwa na sababu ya kufanya haya yote kwani inaonesha wako desperate. Hivi ni kweli katika ujumla wao wote hakuna mtu mwenye uwezo wa kubuni kitu kama hicho (kufanana siyo kubaya - ni form of flattery) lakini kuigizia kabisa kwa kweli inapasa mtu aombe radhi hasa kama ni alama ambayo imetumiwa rasmi na kampeni ya mgombea wao.
 
Tetty

JF-Expert Member
Jan 6, 2012
26,386

MM unategemea kitu tofauti kutoka kwa kijana aliyeiba mitihani yake ya kidato cha nne???Sina uhakika kama hata kidato cha sita alimaliza.

Basi hayo ni matokeo ya wizi wa mitihani.!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Freeland

JF-Expert Member
Jan 24, 2012
14,490
2,000
Hii ni kweli bila ya shaka; hawakuwa na sababu ya kufanya haya yote kwani inaonesha wako desperate. Hivi ni kweli katika ujumla wao wote hakuna mtu mwenye uwezo wa kubuni kitu kama hicho (kufanana siyo kubaya - ni form of flattery) lakini kuigizia kabisa kwa kweli inapasa mtu aombe radhi hasa kama ni alama ambayo imetumiwa rasmi na kampeni ya mgombea wao.

Kwa nini Hukukishauri vizuri chama chako CCM?
 
LOVI MEMBE

JF-Expert Member
Mar 16, 2012
1,122
1,250
alhaji bulembo

yeye alipomaliza elimu ya msingi alijiunga na chipukizi, then akaenda kambi ya vijana na baadae akashiriki mkutano Mkuu wa ccm taifa kisha akachaguliwa kuwa mjumbe wa kamati kuu taifa halafu akachaguliwa kuwa mwenyekiti wazazi ccm taifa kisha akaenda mecca. Hiyo ndo cv ya alhaji abdallah bulembo. Kimsingi hapa ndipo tatizo la ccm linapoanzia. Huyu bwana ni mbumbumbu kabisa ndo maana anatukana watu ovyovyo; na hiyo ndo sifa pekee aliyo inayombakiza kazini. he plays comedian drama on matters that needs serious and critical thinking and as a result he one of the like who creates potholes in the whole system of Chama cha Mapainduzai
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom