Jmushi1 usipende kuamini watu kabla hujajiamini wewe mwenyewe, utakuwa mtumwa daima! Kama hiyo itikadi ya chama unaiamini ndiyo itakayorudisha taifa katika mstari vipi usubiri wengine wafanye na wewe u free ride? Hiyo ni lack of confidence, a sign of fear and unboldness! I wish I could give my heart and impert into you the boldness that would make you dare to do what you believe is right to be done for your self first and for others.
Labda nikupe mfano, Mwl JKN alipotangaza vita vya Uganda alisema maneno haya bila ku nukuu sababu tunayo, nia tunayo na uwezo tunao wakumpiga adui yetu ambaye ni Idd Amin. Labda nikuulize je hiyo kweli ilikua imani ya watanzania wote? Je wote hatukuingia vitani? Na je garama ya hiyo vita ilikuwa juu ya Nyerere pekee au hata wale ambao hawakua na nia, sababu wala uwezo? What am I trying to say...
Hata kama hakua sahihi aliamini hivyo alivyo sema na kwasababu ya nguvu iliyokua ndani yake alisababisha wote tukafanya kama alivyo amini yeye and so we all did as he believed and said....Then he proved to be strong and he conqured the weak, how...Because he believed in HIMSELF and the power inside HIM and not into others....Thats what I exactly want every body of us to know.....If you believe differently then dont wait others to do what you believe in do it yourself for they might be believing differently..
Namheshimu sana Fred Mpendazoe kwani alisema maneno yenye msingi sana... kwamba hata kama hata fanikiwa katika yale aliyodhamiria kuyafanya bado hatajuta kwani amefanya sawa sawa na dhamira yake....Watch my words ni mara chache sana watu wenye imani kama hiyo kushindwa kwani yuko tayari kwa lolote and according to natural law because he does not fear anything then there is extra power to take him forward! Na hata kama atashindwa atakua amepanda mbegu ambayo haita kufa daima dawamu bali itakua taratibu na matunda yake yatafaidi wengine and thats what exactly Obama benefitted from...He had a reference from people like Luther King jr and the like... So to say better late than never...ONCE AGAIN JOIN US in the move to bring back the lost hope!
Nimekupata ms Felister,plus i have a sisister named Felister....Kiukweli hata hivyo huwa napenda sana michango yako,thats fosho!
However back to the main point,plz i beg not to be naive! Mwamko unaouzungumzia,ulikuwepo hata mara baada ya uhuru kupatikana,kulikuwa pia na mwamko kama huu wa sasa na ccj wakati wa Mrema kujitoa ccm....Nilijiamini na kuwa bold hadi mwisho,and that really hurst if yu trully believed either yo self or even the leaders whom you had faith with, but neverthe less, they let ourseleves down,and beacause i was also bold,believing and confident that now changes will happen and trulyl believed that everybody else just had da same morality i had...That they also believed in the movement,still i felt lika've took ma self down just as much as Mrema and Marando took us down,we should learn from mastakes....The you of now is da sme mi of those days!Tulisukuma mashangingi sana na kufikiria kwamba yes this is the time!yu prob no da rest!
Kuna watu/wanasiasa wana voting blocks zao ambazo ni almost guaranteed no matter what their perfomance is in a national level,wakirudi majimboni wanapokelewa kwa furaha,na sherehe huku wakiwa na uhakika wa kurudi bungeni,ni tataizo ambalo lazima tudeal nalo kwani ni kikwazo cha kuweza kusonga mbele.....Kwa maana either mshirikane na vyama vingine ama muanze kukijenga chama chenu na kusahahu mambo ya uchaguzi mkuu wa mwaka huu,na pia niliposema kuwa nasubiria,hapo mimi ni kama mwananchi wa kawaida tu,na si eti nataka kuwa free rider,no miss,i am an independent minded person,halafu i reasonn logically,maybe coz of ma left handed brain,ambao wengi wetu huendeshwa kwayo....The opposit is artistic ppl.....those rgt handed brains.
Ukifuatilia,wabunge wanaochaguliwa mara nyingi wanakuwa ni wale wale....Hujiulizi why?Ama unadhani kuwa ni tataizo la boldeness?
Ukujaribu kunibrand mtumwa kwasababu nimesema nasubiria viongozi wazalendo ambao nina imani nao,viongozi kutoka kwenye vyama mbali mbali ccm ikiwemo,basi wewe ndo utakuwa umefikiria kitumwa,and illogically!kwasababu huwezi kuushinda utumwa mwenyewe,knowledge will....,Times has changed,ingekuwa wakati wa Jesus christ,ni imani tu na pambio vilivyowachomoa Paulo na Sila lupango,same thing applies here,ila reality NI LAZIMA IWE ON THE TABLE during those important decisions,kwa taarifa yako,sidhani kama wananchi walio wengi wasio na walo ccj wanajua kuhusu itikadi za ccj,wengine ni fuata upepo(JK alisema hao ni 70%) Pia nsikufiche,kwasababu nyie wengi wenu ni wasomi sana na mnasahahu hali halisi ya wananchi na the way they think,mnaweza kukwama kwasababu hamjui umaarufu wa chama hicho umetokana na sera zinazoendana na mawazo ya mwalimu,na nadhani lengo ni kwenda kurekebisha kuanzia pale tulipokwama, pia uwepo wa taarifa(unajuwa wabongo kwa kuamini gossips/rumours) kwamba kuna viongozi wazalendo watakaotoka ccm na kujiunga ccj,wengine walikanusha except Mpendazo aliyefanya kweli.....Sasa nadhani ungewalaumu hao ambao bado hawajajitoa ccm kuwa na wao wawe bold kujitoa sasa na si kusubiri upepo wa kisiasa ama kuona sapoti yao kwa wananchi ni nzuri,fanya hivyo kabla ya kuniambia mimi dat nosense.
Narudia dada/mama,please dont be naive,mambo yamebadilika,kwa mfano back in a day mkiwa vitani halafu kulikuwa hakuna stratrgically retreats,ni mbele kwa mbele bold as ever ready to die,tena inasememekana enzi izo ukirudi nyuma askari mwezio anakulima shaba! retreat ili kuweza kujipanga tena vyema,hilo constituted to being a coward,kama wewe ni mmojawapo wa waanzilishi,basi naona unajihisi kama uko cloud 9....
Hata hivyo bado naamini kuwa kuna mambo mnayajua na sisi hatuyajui na ndio maana unatoa msisitizi kwamba everything is fine...Ni muhimu kuwa na hope,lakini also to bring in the reality,imani pekee haitoshi,na sidhani kama ccj inaongozwa kiroho,however bible yenyewe inakwambia uwe mjanja kama nyoka na mwerevu kama njiwa(naweza nikawa nimeswitch) na huku nyoka huyo huyo akiwa ni kiumbe kilicholaaniwa!.....tukija kwenye politics tunakwenda na reality,Mrema was even a bigger fish than Mpendazoe.
Maneno uliyoyaweka hapo juu yanafaa zaidi kanisani,kuwatia moyo ndugu na wanachama wenzako kwamba they tay bold and so forth.....Tuna shida ya viongozi makini kusema ukweli na si itikadi,kama nia yenu ni kukijenga chama kwanza kabla ya uchaguzi ili kushinda ni lazima watoke wazalendo wengine kutoka huko ccm.....Ni wananchi wachache sana wenye independent minds,wengi wao wana wafuasi....Kwasababu wananchi wengi wanaweza wasijitoe ccm kama wafuasi wao wasipofanya hivyo....Fatilia endorsements ni muhimu sana,hata Gen Colin Powell ni republican lakini ali muendorse Obama,na ndio mojawapo ya sababu zilizomfanya akashida!
Kama alivyosema Mkandara hapo nyuma,pointi ambayo nimeizungumzia pia,wananchi dont really care about itikadi,at least the majority poor,na kwahivyo namna ya kuwapata haiwezi kuwa eti ni chama chenye itikadi nzuri persee,mtawapata wasomi ambao ni wachache! Ukitaka kurelate na mwananchi ni lazima uzungumze lugha yao,yani kuwaelimisha based on the levels of their understandings na kuwasaidia kufika kwenye land of milk and honey kwa kwa kuzibadilisha weaknesses zao to strenghth,that can be done in many ways.
Ukitakamimi nijinge na ccj kabla ya kuuliza maswali ambayo nadhani ni muhimu,halafu wewe kuja hapa na kudai eti sina confidence,ooh eti cjui uniazime moyo wako?Senseless,pelekea hayo kanisani,hizi ni politics,na ndio maana unaambiwa kuna malaya wa kisiasa,yani leo unaamini kweli kweli,kesho unashangazwa na vitendo......Otherwise kama nilivyomwelezaMkjj kuwa you guys mgt no smthing others dont,that creates a sense of euphoria amogst ya'll and a really surprise to many me been one of em....Ni surprise kwasababu kile wengi walichotegemea kuhusiana na ujio wao,ni kui mega ccm!
I am still waiting,thats just ma 2 cents ma'