Kwanini baadhi ya wazazi wa kikristo hawapendi watoto wao kuanza kunywa pombe ?

sky soldier

JF-Expert Member
Mar 30, 2020
5,408
19,033
Kijana kamaliza form 4 yupo likizo anasubiri kwenda chuo mwezi wa 10, wazazi wake ni washika dini kila jumapili kanisani ila cha ajabu wanamgombeza kijana wao kisa tu chumbani kwake kuna chupa za bia, kwenye pipa la taka huwa kuna vichupa vya pombe kali, mara mbilj pia kijana amewahi kufatwa pub na wazazi wake kisa anakunywa pombe.

KIJANA SIO MLEVI NI MNYWAJI TU.

Pombe ni dawa ya tumbo nashangaa kuna wazazi wa kikristo hawataki watoto wao waimarishe afya ?

Hata paulo alisema masikini anywe pombe asahau shida zake
 
Endelea kunywa soon tutakufukia CHINI

Soma na hii

 
yaani umemaliza form four ushaanza mahusiano na pombe,ukifika chuo ukapata kazi wataletewa taarifa unalala mitaroni na malinda yamepoteza bima.
 
Si tulikubaliana pombe ni dawa ya tumbo ?

Kuna ubaya gani mtu kunywa kwa afya yake ?

Ukishasema neno Dawa alafu tumbo hapo unagusa Madaktari na Wafamasia.
Hao wanakuambia angalau MTU anywe akiwa na Umri kuanzia miaka 18.

Haya Kwa habari ya Saikolojia pamoja na sosholojia mtoto Mdogo ambaye hajajitegemea hapaswi kunywa hizo pombe.

Ingefaa ukauliza.
 
Si tulikubaliana pombe ni dawa ya tumbo ?

Kuna ubaya gani mtu kunywa kwa afya yake ?
Umri uwe umeendaa sio muda wakunywa pombe hujqjenga taifa,ila mimi 3 nilitekwa na,wenye dhambi nikawa pombe na mimi mbege,totopaki,baba angu ni mywaji alikuwa ananyima tunywe tunaiba ,bangi nilikuwa na vuta chuo lakini nilikuwa shida haileweki hiyo mutu ila nilikuja ona hii ni yawatoto watu wazima tutakunywa utafutaji wa hela. Nikaanza kuwa serious 16 pombe ukionekana nayo kifo kipo karibu unaweshwa mabapa ya panga hadi basi . Ila tulikuwa tunazinywa yangu ilikuwa safari,serengeti,castle lager,heineken,na mbege safi nzuri, vikali konyagi nilikuwa mzinga tunashea , ika hivi vidogo naywa mwenyewe chupa kubwa tunakunywa na group . Nilienjoy life together tunawakilisha huu ndio msemo dhabiti ila ukishikwa uwii kufa kupooo
 
Ukishasema neno Dawa alafu tumbo hapo unagusa Madaktari na Wafamasia.
Hao wanakuambia angalau MTU anywe akiwa na Umri kuanzia miaka 18.

Haya Kwa habari ya Saikolojia pamoja na sosholojia mtoto Mdogo ambaye hajajitegemea hapaswi kunywa hizo pombe.

Ingefaa ukauliza.
Sio sababu yakutokula raha
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom