uporo wa wali ndondo
JF-Expert Member
- Dec 3, 2013
- 3,454
- 2,244
Wadau,
Juzi hapa zilisambaa picha tofauti za mheshmiwa huyu akiwa na wadada wawili tofauti katika mionekano ya kuashiria kuna mapenzi baina yao. Kama kawaida ya wanasiasa wengi walivyo waongo, Mheshmiwa huyu alikimbilia Clouds FM kukanusha kuhusika kwake kwenye picha hizo.
Pamoja na sababu zingine, Mheshmiwa huyu alidai kua Picha za Uso/Sura/Kichwa chake zilitumika kuunganisha kwenye kiwiliwili cha mtu mwingine aliekuwepo na huyo dada ili ionekane ni yeye wakati sio kweli.
Sasa hapa chini zimenaswa picha mbalimbali za Mheshmiwa huyu akiwa na Nguo zilezile alizozikataa hapo mwanzo kua sio yeye bali sura ndio ilikua ya kwake.
View attachment 163506
View attachment 163507
Nawasilisha!!

Hizo za Komba ni picha halisi lakini za yule Mkerewe, ni za kuchonga!!!!! Sijui akili za watu wengine, yaani unakwenda kwenye mchepuko halafu unakubali kupigwa picha?
Tiba
Wadau,
Juzi hapa zilisambaa picha tofauti za mheshmiwa huyu akiwa na wadada wawili tofauti katika mionekano ya kuashiria kuna mapenzi baina yao. Kama kawaida ya wanasiasa wengi walivyo waongo, Mheshmiwa huyu alikimbilia Clouds FM kukanusha kuhusika kwake kwenye picha hizo.
Pamoja na sababu zingine, Mheshmiwa huyu alidai kua Picha za Uso/Sura/Kichwa chake zilitumika kuunganisha kwenye kiwiliwili cha mtu mwingine aliekuwepo na huyo dada ili ionekane ni yeye wakati sio kweli.
Sasa hapa chini zimenaswa picha mbalimbali za Mheshmiwa huyu akiwa na Nguo zilezile alizozikataa hapo mwanzo kua sio yeye bali sura ndio ilikua ya kwake.
View attachment 163506
View attachment 163507
Nawasilisha!!
Kwani wewe una visasi gani na Komba? Maana umeng'ang'ana na thread hii tokea majuzi! Au ulikuwa dem wake akakugegeda na kukupiga chini nini!?
La kwanza lililowaudhi watu ni kumtusi Mzee warioba,pili kuwakejeri Ukawa tatu kujidai Mtemi wa Mwituni(msituni)wakati hata kwata alishasahau kitambo, Pia ana katabia ka kujifanya Mjuaji (much knows) Nadhani kwa mtizamo wangu huenda Haya yamechangia kwa kiasi fulani hv kupelekea Watu kuamua Kumwanika mapungufu yake, hapa JF ni chuo cha kuwakumbusha watu waliojikwaa,waliojisahau,malimbukeni,wazinzi nk Kuwa sasa ni mda wa kujitambua kisha wajiludi. Komba litumie jukwaa la JF kujitadhimini upya kisha uje kivingine Maana sasa umechafuka.Najaribu tu kujiuliza swali dogo haya yote siku zote yalikuwa wapi? Ni nn kilichosababisha mkuu sana haya yamtokee kwa nyakati hz ni nn kilichonyuma ya haya. Ni je? Watu wamechoka kwa mambo haya au kuna kitu kingine mkuu huyu kimesababisha? Japo najaribu kujiuliza sana jamani nakosa jibu naombeni msaada. Ila japo najua kuwa kutukana wenzanke watu safi anajua maana niliangalia bunge la katiba alimshambulia Warioba kwa kuiga tu without thinking out of the box
mkuu unamaanisha lulu yupi?bado zipo picha chafu akiwa na lulu....
bado zipo picha chafu akiwa na lulu....
Hiyo picha ya kwanza imepigwa mwaka 2004,pengine kipindi hicho hajawa mheshimiwa so alikua anajiachia bila tahadhari.
Kama kuna mtu aliamini utetezi wa Komba basi anatakiwa akapimwe akili. Huo ndiyo mchezo wa Komba tangia zamani. Sisi tunaomjua tangia akiwa TOT hizo picha ni trail, mkionyeshwa mkanda mzima mbona mtazimia. Komba ni mchafu wa kupindukia na sidhani kama huwa anatumia kondomu.
Huyo si mke wake jamani?Wadau,
Juzi hapa zilisambaa picha tofauti za mheshmiwa huyu akiwa na wadada wawili tofauti katika mionekano ya kuashiria kuna mapenzi baina yao. Kama kawaida ya wanasiasa wengi walivyo waongo, Mheshmiwa huyu alikimbilia Clouds FM kukanusha kuhusika kwake kwenye picha hizo.
Pamoja na sababu zingine, Mheshmiwa huyu alidai kua Picha za Uso/Sura/Kichwa chake zilitumika kuunganisha kwenye kiwiliwili cha mtu mwingine aliekuwepo na huyo dada ili ionekane ni yeye wakati sio kweli.
Sasa hapa chini zimenaswa picha mbalimbali za Mheshmiwa huyu akiwa na Nguo zilezile alizozikataa hapo mwanzo kua sio yeye bali sura ndio ilikua ya kwake.
View attachment 163506
View attachment 163507
Nawasilisha!!
Duhh, hapa kuna kazi. Jificheni faragha.View attachment 163648 View attachment 163649
Wachunguzi na wataalamu wa photo editing kuna hali ya kuzua maswali mengi kuhusu picha zinazomhusu Mbunge wa Chadema toka kanda ya Ziwa Ukerewe hada baada ya kuibwaga serikali mahakamani:
Hali halisi inaonyesha dhahiri sio tukio la ukweli bali ni uchongaji tu.
- Msichana aliyetajwa kiumbile si mwenyewe anayeonekana pichani
- Msichana anayatajwa amekanusha kuhusuka na tukio na asema anafamilia yake hawezi kujidhalilishwa hivyo yeye na familia yake.
- Kwiliwili cha mwanaume hakishabihiani na kichwa
- Kichwani kunaonyesha wazi editing ya rangi na ndevu kitu kinachoashiria kukosa uhalisi wa tukio.
- Mwanamke anaonekana kuchomekewa kichwa na kufanyiwa editing.
Hivi Escrow account saga limeisha?
Maana watz kupotezwa kwenye jambo ni wepesi sana
Labda tuwatajie
Hiyo lodge inatwa
BLUE ROSE
UKIFIKA .MEEDA NJIA YA KWENDA HOSTEL ZA CHUO ZAMANI UKIPITA MBELE KUSHOTO KUNA LOJI NYEUPE UKITAKA MORE INFO UTAKUTA
DADA MOJA LA KINGONI LINAMZIGO ADIMU UKO ....LIPE BUKUKUMI TU ANAKUPA INFO oTE
Daaahh! Aisee tuko wangapi jamani iiish!..