Jstar1
JF-Expert Member
- Aug 1, 2019
- 1,389
- 1,337
nan apigiwe sasa, mtaskia watu kaznMie hapana vipi wewe?
nan apigiwe sasa, mtaskia watu kaznMie hapana vipi wewe?
Una hakika Mkuu na Huyo Mtu alokwambia kwamba wameanza kupiga simu ni yeye alopigiwa au nayeye amesikia kwa mtu aliye ambiwa na rafiki yake ambaye rafiki yake amepata taarifa kwa rafiki yake ambaye nayeye ana rafiki yake sasa huyo rafiki yake amesikia kwa rafiki yake mwingine ambaye ana rafiki yake....😃😃 ukifatilia sana utakuta hii CHAIN.Nasikia wameanza kupigiwa simu uko
hamna alopgiwa smu, mpaka mda uu natype niko bandarini,Una hakika Mkuu na Huyo Mtu alokwambia kwamba wameanza kupiga simu ni yeye alopigiwa au nayeye amesikia kwa mtu aliye ambiwa na rafiki yake ambaye rafiki yake amepata taarifa kwa rafiki yake ambaye nayeye ana rafiki yake sasa huyo rafiki yake amesikia kwa rafiki yake mwingine ambaye ana rafiki yake.... ukifatilia sana utakuta hii CHAIN.
apo sasa, naskia mambo tiariKulikoni website yetu pendwa mbona haifunguki? au ndo wana upload
Hahaha una wenge sana Mkuu website mbona inafunguka fresh tu.Kulikoni website yetu pendwa mbona haifunguki? au ndo wana upload
Dogo vipi umetoboa?naomben ronja ua wanaulza nn
Wenzio washapigiwa simu wanaripoti muda huu......kama hujapigiwa ujue kazi umekosa!Hapo wanapachikana kwanza then ndio wawaite na mtaona,
utumishi hawatatoa majina hayo ila wenyewe tpa watawapigia watu CM direct ya kuwa wamefanikiwa kupata kazi.
Haya mshirika mengine yanatumia utumishi km sehemu ya kuzuga tu kwa mkuu ili waonekane wanafuata process kihalali.
We Jidanganye wenzio wamesharipotihamna alopgiwa smu, mpaka mda uu natype niko bandarini,
hamna kada ambayo wametoa majibu,
Doh bila hata kupepesa maneno bhana😄Wenzio washapigiwa simu wanaripoti...kama hunapigiwa ujue kazi umekosa!
Stick na plan B now
ndio brooDogo vipi umetoboa?
Anhaa ulibadirigi jina kumbe doh.ndio broo
Je, BANDARI wanamamlaka kubwa kuliko sekretarieti ya ajira?
Yaani watu hupigiwa simu na kuanza kazi then baadae UTUMISHI hutoa majina ya placement.
Anhaa ulibadirigi jina kumbe doh.
Umepigiwa simu lini mkuu?Wenzio washapigiwa simu wanaripoti muda huu......kama hujapigiwa ujue kazi umekosa!
Stick na plan B now
Umepigiwa simu lini mkuu?