Call for Interview-Tanzania Ports Authority(TPA) 22-May-2019

Call for Interview-Tanzania Ports Authority(TPA) 22-May-2019

Mi nashangaa wanaongopeana tu hapa eti tpa kuna ela...mavi matupu huwezi amini waajiriwa wanaomba nauli kwa vibarua....ngoja waende mwenye vision hamalizi hata mwaka ajira ile anaitema
Hizo kazi zenyewe ndio za mishahara kijiko na matusi mengi sio [emoji23][emoji23][emoji23]???

Aisee nimeshaji tune na kilimo na mishe zingine tu wacha nikomae tu.
 
Walihitajika winch operator 34 sijui lakini majina yaliyotoka ni matatu tu na mbaya zaidi wakapelekwa kwenye practical mmoja akaambiwa palepale vigezo huna sepa wakabaki wawili tu.....huna haja ya kuumia maana vigezo huna we nafasi 34 wanapatikana watatu tu
Ni kweli mzazi ila katika nafasi zote zile walizotoa nyingi wameweka kigezo kigumu kweli kama zile za nafasi 199 wanataka uwe na leseni daraja C,CI na E sasa mie sina kigezo icho mbazo nastaili kutuma ni zile nafasi zilizotoka 4 tu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom