Call for Interview-Tanzania Ports Authority(TPA) 22-May-2019

Sio kweli hata mavyuoni kuna watu special wanaitwa "WATOTO WA MAMA SALMA" hawa vipi hawana haki ya kuajiriwa? Hakuna sheria inayomfanya mtu asiajiriwe eti kisa ana ngoma kuwa HIV sio tatizo ndo maana Kila chuo kuna Bango "Graduate with "A+" and not with HIV AIDS na si HIV" maana hata ukija fatilia kuna wengine waliupata toka kwa wazazi wao hivo huwezi wahukumu na kuwanyanyapaa.
true
 
Back
Top Bottom