What a U.S.$500 Million Agreement Means for Tanzanian Ports

Pascal Ndege

JF-Expert Member
Nov 24, 2012
2,977
1,897
Kuna maelezo kuwa PD world ilitoa msaada wa dollar million 500 za kimarekani kwenda kuboresha mambo mbalimbali katika Bandari ya Dar es salaam lakini hizo pesa hazipo kwenye mkataba wala kwenye kwenye maelezo ya serikali. Tuomba ufafanuzi wa Serikali kwa hili. Au mwenye kujua nini kinaendelea

Kwa ambao Hawana mkataba upo hapo.

What a U.S.$500 Million Agreement Means for Tanzanian Ports​

FacebookTwitterWhatsAppFlipboardLinkedInRedditEmailShare

A U.S.$500 million grant through a Memorandum of Understanding signed between the Tanzania Ports Authority (TPA) and a Dubai-based logistics firm DP World, will finance various projects aimed at improving efficiency of Tanzania's ports.

The firm specialises in cargo logistics, port terminal operations, maritime services and free trade zones. The agreement for the grant was signed at the Dubai Expo between TPA Director General Eric Hamissi and DP World Chief Executive Officer Sultan Ahmed Bin Sulayem and was witnessed by President Samia Suluhu Hassan.

The funds from the agreement will be spent on developing Tanzania's ports, targeting key areas of information and communication, technology (ICTs) systems, training for capacity building among TPA staff and improvements in port infrastructures. The funds are also expected to enable the country's ports to increase their competitiveness at the regional and global level and improve services.

Attachments

  • Intergovenmetal agreement TZ - Dubai AZIMIO LA BANDARI_230606_205947.pdf
    2.2 MB · Views: 5
  • Screenshot_20230630-203709.png
    Screenshot_20230630-203709.png
    58.1 KB · Views: 7
Kuna tetesi ambazo zimeenea kwenye viunga vya BANDARI eti zaidi ya karibu tilioni moja zilizo tolewa kama msaada na waarabu kwa mamlaka ya bandari hazijulikani zilipo!

Inasemekana baadhi ya watumishi wazalendo wa mamlaka ya bandari ndiwo waliofichukua sakata hilo.

Please TPA kama ni kweli ama si kweli litoleeni taarifa hilo kwa Watanzania kuhusu hizo pesa dola milioni 500 zilifanya nini ama zipo wapi!

Hii ni zaidi ya hatari!
 
Kuna maelezo kuwa PD world ilitoa msaada wa dollar million 500 za kimarekani kwenda kuboresha mambo mbali mbali katika Bandari ya Dar es salaam lakini hizo pesa hazipo kwenye mkataba wala kwenye kwenye maelezo ya serikali. Tuomba ufafanuzi wa Serikali kwa hili. Au mwenye kujua nini kinaendelea
Kwa ambao Hawana mkataba upo hapo.

What a U.S.$500 Million Agreement Means for Tanzanian Ports​

FacebookTwitterWhatsAppFlipboardLinkedInRedditEmailShare

A U.S.$500 million grant through a Memorandum of Understanding signed between the Tanzania Ports Authority (TPA) and a Dubai-based logistics firm DP World, will finance various projects aimed at improving efficiency of Tanzania's ports.

The firm specialises in cargo logistics, port terminal operations, maritime services and free trade zones. The agreement for the grant was signed at the Dubai Expo between TPA Director General Eric Hamissi and DP World Chief Executive Officer Sultan Ahmed Bin Sulayem and was witnessed by President Samia Suluhu Hassan.

The funds from the agreement will be spent on developing Tanzania's ports, targeting key areas of information and communication, technology (ICTs) systems, training for capacity building among TPA staff and improvements in port infrastructures. The funds are also expected to enable the country's ports to increase their competitiveness at the regional and global level and improve services.

May be it was meant for footing allowance
 
Samia ni hatari kwa usalama wa taifa ni fisadi mkubwa sana
 
Kuna tetesi ambazo zimeenea kwenye viunga vya BANDARI eti zaidi ya karibu tilioni moja zilizo tolewa kama msaada na waarabu kwa mamlaka ya bandari hazijulikani zilipo!

Inasemekana baadhi ya watumishi wazalendo wa mamlaka ya bandari ndiwo waliofichukua sakata hilo.

Hii ni zaidi ya hatari!
Msitutoe kwenye reli. Tunataka bandari yetu.
 
Kuna tetesi ambazo zimeenea kwenye viunga vya BANDARI eti zaidi ya karibu tilioni moja zilizo tolewa kama msaada na waarabu kwa mamlaka ya bandari hazijulikani zilipo!

Inasemekana baadhi ya watumishi wazalendo wa mamlaka ya bandari ndiwo waliofichukua sakata hilo.

Hii ni zaidi ya hatari!
Wewe nae poyoyo kweli kweli. Ulifikiri utapewa pesa cash, ukazinywe?
 
Kuna tetesi ambazo zimeenea kwenye viunga vya BANDARI eti zaidi ya karibu tilioni moja zilizo tolewa kama msaada na waarabu kwa mamlaka ya bandari hazijulikani zilipo!

Inasemekana baadhi ya watumishi wazalendo wa mamlaka ya bandari ndiwo waliofichukua sakata hilo.

Hii ni zaidi ya hatari!
Danger for D
 
Back
Top Bottom