Call for Interview-Tanzania Ports Authority(TPA) 22-May-2019

Call for Interview-Tanzania Ports Authority(TPA) 22-May-2019

Naona uzi umeanza kuchangamka tena..

*nimeshikilia simu kama roho yangu hapa [emoji3][emoji3] presha presha
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Jaman Brela napo vipi simu zishaanza kupigwa au bado kabisaaaa?
Maana presha kila mahali sio TPA tu peke ake
 
Niko Hapa karibu tujuane.. mm nimepigiwa simu nikiwa hapa hapa mnazi sikulaza damu huyoo hadi floor ya 32..
Mungu ni mwema..
IMG_20190809_163843_5.jpeg
 
Jaman Brela napo vipi simu zishaanza kupigwa au bado kabisaaaa?
Maana presha kila mahali sio TPA tu peke ake
Brela hawapigi simu mkuu alafu bado maana Walianza TVLA ndiyo wanatimiza week ya 3 hivo endelea kuvumilia Mkuu.
 
yaani ety mpaka ue na connection ndo unapata kazi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], wakuu yaani niwambie tu ni jitihada zako.

watu saivi wanaingia yaani connection ni kichwa chako
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom